radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa macho ya picha bila kufika site hii nyumba ni kali kulingana na Martin Luther ilipo, ukitazama kwa makini utaona ni vyumba vinne lakini ni vitatu, hivyo ndani ni kubwa, eneo amesema sqm 600 total coverage lakni ni kama 650sqm. Nafikiri madirisha milango ndio bado ikuuzwa 40mil au 38mil siyo mbaya maana hiyo aliyoota siyo fixed price unaeza lia 37mil.Yahn hilo pagala 45m zama hizi za Magu?????
Madalali Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha aisee mkuu umeonaje kama kuna vyumba vitatu au ndo unajijibu kwa id yako nyingne???Kwa macho ya picha bila kufika site hii nyumba ni kali kulingana na Martin Luther ilipo, ukitazama kwa makini utaona ni vyumba vinne lakini ni vitatu, hivyo ndani ni kubwa, eneo amesema sqm 600 total coverage lakni ni kama 650sqm. Nafikiri madirisha milango ndio bado ikuuzwa 40mil au 38mil siyo mbaya maana hiyo aliyoota siyo fixed price unaeza lia 37mil.
Amna mkuu mtoa mada alishasema ni nyumba ya vyumba vitatu.Hahaha aisee mkuu umeonaje kama kuna vyumba vitatu au ndo unajijibu kwa id yako nyingne???
anyway kwangu kuna 25m!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan muuzaji anauza sababu hiyo hahahaMikopo bhana! Nuksi kweli yani.
Msimu upi? Mkuu
Hati ya nyumba ipo kwenye process, hiyo sentensi inaleta ulakini.Kwan muuzaji anauza sababu hiyo hahaha
Anawahi hati isije expires na benki hahahaHati ya nyumba ipo kwenye process, hiyo sentensi inaleta ulakini.