House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

Jengo lenye ujenzi wa ghorofa moja linauzwa, linapatikana mbezi, msakuzi.

Ni km 5 kutoka mbezi stand.

Jengo bado lipo hatua za mwanzo.
Ramani ya jengo, Chini kuna sitting room, dining room, kitchen, store, public toilet na bedroom.

Na floor ya juu ni vyumba vitatu (hii ni baada ya jengo kukamilika.)

ENEO LAKE:
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1200
Eneo lina offer tayari (full surveyed)
Offer: 40m
Call/SMS: 0756 832833

View attachment 1013832View attachment 1013834View attachment 1013833View attachment 1013835View attachment 1013836

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema haki ya Mungu?
 
Hizo tofali bora angetumia kujenga Nyumba ya kawaida alidanganywa kujenga ghorofa kwa pesa za dili ndio matokeo yake haya.
Hii ni awamu ya tano,lazima watu wanyooke sana!
Usimind pls!

Ni bora aikate katikati ili aimalizie mpaka juu
 
Ingekuwa Makabe mkubwa ungetuokota fasta sana aisee kuna dingi mmoja anatafuta sana kiwanja kapata maeneo ya Mbezin ila bei ghali sana
 
Jengo lenye ujenzi wa ghorofa moja linauzwa, linapatikana mbezi, msakuzi.

Ni km 5 kutoka mbezi stand.

Jengo bado lipo hatua za mwanzo.
Ramani ya jengo, Chini kuna sitting room, dining room, kitchen, store, public toilet na bedroom.

Na floor ya juu ni vyumba vitatu (hii ni baada ya jengo kukamilika.)

ENEO LAKE:
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1200
Eneo lina offer tayari (full surveyed)
Offer: 40m
Call/SMS: 0756 832833

View attachment 1013832View attachment 1013834View attachment 1013833View attachment 1013835View attachment 1013836

Sent using Jamii Forums mobile app

Hichi kipigo kabisa!

Msingi wenyewe ni zaidi ya 40mil,sasa kiwanja jee?

Run!
 
hivi ilo ni ghorofa.. au linajengwa ili.lowe ghorofa.. maana hata ngazi za kupandia hazionekeni... zege la juu liko wapi.

sema pagale lilaunzwa.. usiseme ghorofa
 
Kitendo cha kuuza hili boma kwa 40m ( could still be negotiable) kinawapa mashaka wananzengo juu ya ubora na uimara wa msingi na boma lenyewe kwa ujumla... tena naona kama liko kwenye slope, bado gharama za kiwanja (1200sqm, surveyed, in Dar)

This price is unreasonably low..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom