House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

Nyumba inapatikana PUGU (kigogo fresh)
Eneo lenye nyumba (KIWANJA ) ni sqm 800 (40*20)
Ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu (1self contained), jiko, choo cha pamoja, sebule na dinning room.
Kutoka barabara ya lami ni meter 700
Miundo mbinu yote inapatikana (barabara, Maji na umeme)
Bei: 14m
More information: 0756 832833

View attachment 1159442View attachment 1159444
Kiwanja bei gani?
Ujenzi wa mpaka hapo bei gani?
 
Wewe subiri ukifukuzwa kwenu utajua gharama ya ujenzi.Kiwanja 20/40 ni mi 3-6 na inaweza zidi hapo,Fundi wa kupangaa tofali kwa siki moja ni 10k hadi 20k tofali moja ni 800-1200 cement mchanga nondo n.k.unafikiria milioni nane.Are you serious?
Humu siku hizi tutoto tumekuwa twingi sana,vinaamka kwenye nyumba za baba zao vinapishana kwenye corridor na mama zao bukta kwa mbele zimetuna wanafikiri maisha ni rahisi kiasi hiko.

Million 8 anaona hela, kibongo bongo kwenye nyumba nzuri hiyo hela msingi tu haitoshi.
 
Kwa mahali hio nyumba ilipofika mtu kusema M8 ni kukosa heshima
 
Wewe subiri ukifukuzwa kwenu utajua gharama ya ujenzi.Kiwanja 20/40 ni mi 3-6 na inaweza zidi hapo,Fundi wa kupangaa tofali kwa siki moja ni 10k hadi 20k tofali moja ni 800-1200 cement mchanga nondo n.k.unafikiria milioni nane.Are you serious?

Mimi sijazungumzia price ya kiwanja naomba unielewe, hapo nimezungumzia kwanzia msingi mpaka ilipofikia + tofali, cement pamoja na ufundi average milioni 8.
 
Piga hesabu ulizopewa then useme kama bila kiwanja M8 inajenga hio nyumba,hapo kadiria tofali 1800 kwa 800 ni bei ngapi.cementi mifuko 35 minimum mchanga lori 2 maji nondo,usafiri n.k.halafu weka ufundi mafundi 3 kwa siku 20 20,000 saidia fundi 2 kwa 10000 siku 20.Gharama ya foreman,ramani etc na muda uliotumika
 
Poa mkuu, nakutakia mafanikio mema!
 
Piga hesabu ulizopewa then useme kama bila kiwanja M8 inajenga hio nyumba,hapo kadiria tofali 1800 kwa 800 ni bei ngapi.cementi mifuko 35 minimum mchanga lori 2 maji nondo,usafiri n.k.halafu weka ufundi mafundi 3 kwa siku 20 20,000 saidia fundi 2 kwa 10000 siku 20.Gharama ya foreman,ramani etc na muda uliotumika

Unajua kwamba hesabu ya vitu vyote ulivyoorodhesha haifiki 6 M? Acha dharau hilo boma ni chini ya 8M.
 
Back
Top Bottom