Huyo msela anayepiga chabo hapo ndiye dalali au mwenye nyumba?
Anyway nimependa mjengo uko safi na mazingira "swafwi" na bei ni elekezi kabisa sina shaka hapo jirani kuna pusha na wale wadada zetu watoaji wa ile huduma yetu pendwa kwa bei chee.
Vipi huko Mwanza nikileta biashara yangu ya majeneza mzunguko wa pesa upo vizuri kuzidi huku Dodoma?