House4Rent Tunapangisha nyumba, Vyumba Mbezi Beach Dar es salaam

ahmedj

Member
Joined
Mar 30, 2023
Posts
40
Reaction score
15
Chumba na choo chake (Masta), kipo ndani ya fensi, maji ndani yapo, parking ipo, luku submita, umbali wa kutembea dakika 3 tu hadi kituoni.

Call - 0679268006 au 0716442950.

 
Hizo dakika 3 ume assume factors zingine ni constant?
 
Chumba na choo chake (Masta) na Sebule, kipo ndani ya fensi, maji ndani yapo, parking ipo, luku submita, umbali wa kutembea dakika 3 tu hadi kituoni.
Tshs 150,000 × 3 Miezi

Call - 0679268006 au 0716442950

Itakuwa wazi tarehe 30 mwezi huu, Kuona na kulipia ruksa.

 
Hii iko wapi?
 
USHAURI; Weka mada hii na post zote kwenye uzi mmoja ambao ni endelevu..
 
Chumba na choo chake (Masta), kipo ndani ya fensi, maji ndani yapo.
Umbali wa kutembea dakika 5 tu hadi kituoni.
Tshs 100,000

Call - 0679268006 au 0716442950

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…