House4Rent Tunapangisha nyumba, Vyumba Mbezi Beach Dar es salaam

House4Rent Tunapangisha nyumba, Vyumba Mbezi Beach Dar es salaam

Nakuelewa hata mimi nina kiwanja kina mita 20 kwa 10 kipo Mbezi Msumi kipo mita 50 kutoka barabara kuu, nilinunua ili nijenge nyumba ya kupangisha ila nimepata matatizo nauza kwa bei ya hasara yaani 3mil tu.

Madalali wa Mbezi Msumi karibu niwape kazi.

Hiv viwanja utata sana, hata pa kuweka shimo la choo utateseka, heri kama kipo road unapiga frame
 
KINAPANGISHWA CHUMBA SEBULE NA CHOO CHAKE NJE NA JIKO LAKE NJE
@MBEZIBEACH_GobaRoad UMBALI WA KUTEMBEA DK 4 KUTOKA STENDI
Bei: TSHS 150,000
Simu: 0716442950

Maji ndani,
Fensi ipo,
Parking ipo,
Luku yake
Jiko lake mwenyewe nje lipo jilani
Choo chake mwenyewe nje kipo jilani
20240213_100920.jpg
20240213_100610.jpg
 
Chumba sebule choo na jiko
Location- Bunju A umbali wa kutembea kwa mguu

Bei- Tshs 150,000
Maelezo zaidi call - 0716442950

Screenshot_20240214_082433_Instagram.jpg
Screenshot_20240214_082455_Instagram.jpg
Screenshot_20240214_082510_Instagram.jpg
 
INAPANGISHWA_ NYUMBA VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER, SEBULE, JIKO ZURI LENYE MAKABATI NA CHOO CHA KUCHANGIA NDANI.

Location_Mbezibeach along BagamoyoRoad
Ipo karibu na kituo cha daladala umbali wa kutembea dakika 4 tu. Gari haifiki hadi kwenye nyumba.

Bei_ 300,000
Maji bomba ndani, Umeme luku yake, Usalama wa kutosha

Maelezo zaidi_ 0716442950
20240212_121924.jpg
20240212_121745.jpg
20240212_122536.jpg
20240212_122401.jpg
20240212_122434.jpg
20240212_122500.jpg
 
FOR RENT - TSH 300,000
NYUMBA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE JIKO LA WAZI NA CHOO NDANI.

MAELEZO ZAIDI - 0679268006

Ipo Mbezibeach Makonde, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala.
Maji bomba ndani, luku yake, Parking ipo.
 

Attachments

  • 20240531_164257.jpg
    20240531_164257.jpg
    1.8 MB · Views: 8
KINAPANGISHWA- CHUMBA NA CHOO NDANI (0679268006)
MAHALI: Ipo Mbezi beach Tangibovu, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala.
BEI: Tshs 100,000 , Miezi 6

Maji bomba ndani, luku yake, Parking ipo
 

Attachments

  • 20240605_171428.jpg
    20240605_171428.jpg
    1.7 MB · Views: 8
Duuu kwanini Bei ni rahisi kuliko tabata?
We hauoni hayo mazingira yenyewe yalivyo, chumba cha hovyo balaa. Me nitoe laki moja yangu nikae sehemu ya hovyo hivyo? [emoji848]
 
Nimeshindwa kushikilia aisee!!
Nyumba ukuta una fangasi balaa, kwanza waifanyie ukarabati [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa wale tulisoma topic ya weathering,Map reading and photographic interpretations hapo tunajua kabisa kuna faulo nyingi sana za kimazingira. Mojawapo ni hilo eneo kuna uwezekano mkubwa kuwa linatabia ya kuweka maji kipindi cha mvua.

Yaani ndio yale maeneo kipindi cha mvua yanakuwa na udongo haukauki maji muda wote.
 
FOR RENT - CHUMBA MASTA NA SEBULE - TSHS 150,000/= mbezibeach GOIGI. CALL 0679268006
○ Tailizi, Gipsam.
○ Umbali kutembea
○ Ndani ya fensi, Maji ndani.
○ Umeme submita
 

Attachments

  • 20240703_115317.jpg
    20240703_115317.jpg
    2.3 MB · Views: 6
  • 20240703_115244.jpg
    20240703_115244.jpg
    2.5 MB · Views: 6
FOR RENT @ MBEZIBEACH SHULE
CHUMBA MASTER KUBWA.
KODI TSHS 150,000/=

Tupigie : 0679268006

Ndani ya fensi, Parking Ipo.
Luku submita yake, Maji bomba ndani.
Umbali wa kutembea.
 

Attachments

  • 20240708_141202.jpg
    20240708_141202.jpg
    2.6 MB · Views: 4
  • 20240708_141030.jpg
    20240708_141030.jpg
    1.2 MB · Views: 4
Back
Top Bottom