Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
20*6 counter check your dimensionsBei - Tshs 7,000,000/=
Simu - 0716442950
Ukubwa Mita 20 × 6.
Hakina mgogoro, Document za Serikali ya mtaa zipo.
View attachment 2898470
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20*6 counter check your dimensionsBei - Tshs 7,000,000/=
Simu - 0716442950
Ukubwa Mita 20 × 6.
Hakina mgogoro, Document za Serikali ya mtaa zipo.
View attachment 2898470
Mwanzo wapi mwisho wapi na kwanini 20x6Bei - Tshs 7,000,000/=
Simu - 0716442950
Ukubwa Mita 20 × 6.
Hakina mgogoro, Document za Serikali ya mtaa zipo.
View attachment 2898470
Nakuelewa hata mimi nina kiwanja kina mita 20 kwa 10 kipo Mbezi Msumi kipo mita 50 kutoka barabara kuu, nilinunua ili nijenge nyumba ya kupangisha ila nimepata matatizo nauza kwa bei ya hasara yaani 3mil tu.
Madalali wa Mbezi Msumi karibu niwape kazi.
We hauoni hayo mazingira yenyewe yalivyo, chumba cha hovyo balaa. Me nitoe laki moja yangu nikae sehemu ya hovyo hivyo? [emoji848]Duuu kwanini Bei ni rahisi kuliko tabata?
Kwa wale tulisoma topic ya weathering,Map reading and photographic interpretations hapo tunajua kabisa kuna faulo nyingi sana za kimazingira. Mojawapo ni hilo eneo kuna uwezekano mkubwa kuwa linatabia ya kuweka maji kipindi cha mvua.Nimeshindwa kushikilia aisee!!
Nyumba ukuta una fangasi balaa, kwanza waifanyie ukarabati [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati kuna sehemu hapa dar unapata nyumba nzuri na kwa laki tatu na chenji inabakia.Nani wa kutoa laki tano kwa mwezi kwa mjumba km huo.?? [emoji23][emoji23][emoji23]