Tunapo wachoka!

Tunapo wachoka!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!Najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!

Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (G/friend,B/friend)Huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??Nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!Nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!Bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!Nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:
 
PHP:
[quote="KakaKiiza, post: 1092178"]Hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!Najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!

Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (G/friend,B/friend)Huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??Nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!Nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!Bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!Nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:[/QUOTE]
[HTML][/HTML]
 
Unasema hasa wanawake kwa sababu wewe ni mwanaume, wanaume ndio wamezidi kwani sometimes badala ya kukuambia tu hakutaki utakuta unampigia simu anampa demu wake mpya apokee hiyo nayo imekaa sawa?
 
PHP:
[HTML][/HTML]
 
Unasema hasa wanawake kwa sababu wewe ni mwanaume, wanaume ndio wamezidi kwani sometimes badala ya kukuambia tu hakutaki utakuta unampigia simu anampa demu wake mpya apokee hiyo nayo imekaa sawa?[/QUOTE]

Kila mtu anasema kutokana na experience yake
 
1.INATEGEMEA UNAETAKA KUMFUNGIA OFISI YA UBALOZI(UHUSIANO) ANAKUPENDA KIASI GANI.....WAWEZA POTEZA MENO YOTE KWA KUVUNJA PENZI GHAFLA.
2.WENGINE AKIPENDA KAPENDA...KUMTOA MTU KAMA HUYO YATAKIWA KAZI NZITO.
3.WAPO WANAOACHA KISAILENSA(KIMYA KIMYA) ILI SIKU ZIJAZO AWEZE KU RE NEW (KURUDIANA NA WAKE)
4. UBABE NA HASIRA HUSABABISHA KUACHANA POLEPOLE.
5.Aaaaaah,ukweli ni kuwa penzi JIPYA la upande mmoja likizidi unasahau hata kusema KWAHERI kule kwa zamani.

HATA HIVYO NASHAURI KUWEPO NA USTAARABU UNAPOAMUA KUMUACHA MTU.....NILIKUWEPO.
 
Kula tano babaake nimekugongea na thanks mkuu
 
Hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!Najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!

Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (G/friend,B/friend)Huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??Nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!Nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!Bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!Nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:

KaKaKiiza vipi yamekukuta ndugu yangu?
 
KaKaKiiza vipi yamekukuta ndugu yangu?

Usidanganyike eti dunia ni duara Dunia inakona nyingi acha tu!!Na wanaoizunguka nakujikuta wametokea walipoanzia hawajui kimsingi huwa wamepotea kwenye hizo kona kwakuwa dunia nindefu!:confused2:
 
Usidanganyike eti dunia ni duara Dunia inakona nyingi acha tu!!Na wanaoizunguka nakujikuta wametokea walipoanzia hawajui kimsingi huwa wamepotea kwenye hizo kona kwakuwa dunia nindefu!:confused2:

Ni kweli unapoanzia ndio hapo hapo unapokuja kurudia kwa kuwa unapokuwa unaenda haujui kimsingi nini kilichopo mbele yako au ni kitu gani ambacho unachokiona.
 
hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!

Nauliza kwanini inapotokea umemchoka mwenziyo (g/friend,b/friend)huwezi kumtamkia wazi bwanae mimi nawewe basi!??nilazima umtafutie visa hambavyo humpelekea yeye kumuumiza roho kwani yeye huwa bado yupo kwenye penzi!!nawengini wamejitoa roho kwa sababu hizo nambaya zaidi wanawake wakichoka hutesa sana kwani unaweza kumpigia simu hata hapokei!!bila kujali kiasi gani unampenda!!au akakuaidi ukutane naye mahali lakini hasitokee nabaadae mkikutana anakwambia habari zisizo kuwa na msingi!!nini haswa inakuwa hivi??:shocked::confused2:

Maisha ndivyo yalivyo. Ukibaini hayo anza mbele tafuta mwingine. Mapenzi ni relative. Pahala popote utakapoishi utamkuta mzuri na mnaweza kuanza mapenzi. Dunia ya leo ni pana na wigo umepanuka sana. Kwa hiyo nakushauri upanue upeo wako kuhusu mapenzi na uangalie mbali sana. God bless.
 
duu mbona i topic imenichungulia kwa muda u?
stak mie
 
we finest wewe!!!!!!!
acha uchokozi.......
chichemi mie............dunia makarabashi
mi natenda tu maisha yanaendelea bt wat i dnt want is to slip in darkheart just bcz of man..cz mamangu alinambia mara tu nilipozaliwa nilitabasamu so natakka nifanye kicheko maisha yangu!!!!!!1
so nkisikia mtu anaumia km iv naona dahhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!
ni ayo tu finest....umeridhika baba? hpfull yeeeeeeeeeeeees!!!!!!!
 
Kitu nilichojifunza katika mahusiano na hasa kwa sisi waswahili ni kuwa wengi wetu hatupendi kukubali ukweli na hasa kwa wale wachace wanaoweza kuwatamkia wenza wao kuwa wamewachoka/hawawapendi tena. Sasa sijui ni mazoea au kitu gani? Jamaa yangu demu wake alimwambia anaomba uhusiano wao uishe kwani hajisikii kuwa na yeye tena. Ni miezi 3 sasa jamaa hataki kukubali eti haiwezekani.....mh!! na ndio maana mtu huamua tu kufanya vituko ili mambo yaishe..
 
we finest wewe!!!!!!!
acha uchokozi.......
chichemi mie............dunia makarabashi
mi natenda tu maisha yanaendelea bt wat i dnt want is to slip in darkheart just bcz of man..cz mamangu alinambia mara tu nilipozaliwa nilitabasamu so natakka nifanye kicheko maisha yangu!!!!!!1
so nkisikia mtu anaumia km iv naona dahhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!
ni ayo tu finest....umeridhika baba? hpfull yeeeeeeeeeeeees!!!!!!!

Rose1980 kuna kupanda milima na kushuka sasa wewe unataka uwe una shuka tuu, najua ombi lako la kutaka kuwa na furaha siku zote za maisha yako especially kwenye mapenzi ungetaka litimizwe ila katika dunia hii ambayo pia mimi napitia ni kumuomba sana Mungu akubariki maana kama ni machungu basi ni mengi tu niliyokutana nayo na bado naendelea kusonga mbele, najua nilipokuchokoza pana ukweli ndani yake:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
kitu nilichojifunza katika mahusiano na hasa kwa sisi waswahili ni kuwa wengi wetu hatupendi kukubali ukweli na hasa kwa wale wachace wanaoweza kuwatamkia wenza wao kuwa wamewachoka/hawawapendi tena. Sasa sijui ni mazoea au kitu gani? Jamaa yangu demu wake alimwambia anaomba uhusiano wao uishe kwani hajisikii kuwa na yeye tena. ni miezi 3 sasa jamaa hataki kukubali eti haiwezekani.....mh!! Na ndio maana mtu huamua tu kufanya vituko ili mambo yaishe..

truth hurts
 
sajenti we ndo mwezango umesema kweli, sijuwi huwa tunaona aibu au ndo tabia zetu kutesana kwani mtu anashindiwa nini kusema mi nawee basi. ata kama unahisi utamumiza mwenzio lakani utamsaidia sana ukimwambia ukweli ata kama ukweli unauma lakini ndo imeshakuwa yanini kumzingua zingua
 
Mbaya zaidi mtu unampa chance ya kumwuliza kama amekuchoka akuambie utakuta mtu anang'ang'ania kudanganya bado anakupenda wakati moyoni haupo.
Ila kwa kusema kweli kumwambia mtu ambaye unajua bado anakupenda kuwa humpendi tena kunahitaji ujasiri wa hali ya juu. Hata mimi nadhani sitaweza, ingawa ningependa mtu akinichoka aniambie ili nisije nikawa kero kwake. maana mtu ukimchoka, hata akikupigia kukusalimu unaona kero
 
Jamani Jamani Hay mambo huwa yana umiza sana,
Mimi Hii Imenitokea Live.. na Imenitokea wiki mbili kabla ya kufunga ndoa, siku Tano baadae ndo mtu ananimbia hanitaki na ana jamaa mwingine.Why people don say truth and they Lie?
 
Back
Top Bottom