Tunapoandamana kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi muwe mnaelewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu hapa ni miongoni mwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Tanzania , sasa hata kama wewe ni kipofu wa Ubongo unadhani huyu anaweza kutenda haki yoyote ?



Ndio maana Chadema na Wapenda haki wengine wameamua kukinukisha kwa wiki nzima Nchi nzima na Duniani kote .

Hifadhi tarehe hii .

 
Mteuliwa katika mtumishi wa umma anazuiwa na sheria kushabikia chama cha siasa. Akikubali uteuzi huo hana namna nyingine zaidi ya kutii sheria.
 
Kabla ya uteuzi, alirudisha kadi ya CCM?

Utumishi wa umma na ukada wapi na wapi?
 
Huyu Mwamba ndiye alisababisha Maandamano Feb 16 , 2018 Kinondoni baada ya kukimbia Ofisi bila kuwapa Mawakala wa Upinzani barua za Utambulisho kwenye vituo vya uchaguzi.

Kitendo kile kilipelekea madhara makubwa yaliyosababisha Kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji NIT Aquillina Aquiline.
 
Katika unyama ule alishirikiana na Paulo Makonda na Lazaro Mambosasa
 
M Mbowe keshatoa amri mgombee ngazi zote, unampinga.,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…