Uchaguzi 2020 Tunapoelekea vituo vya mafuta navyo vitapigwa stop kumjazia mafuta

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
6,850
Reaction score
11,033
Kufuatia vikwazo mbalimbali anavyowekewa mgombea urais wa chama cha CHADEMA ndugu Tundu lisu na serikali ya ccm ili ashindwe kufanya kampeni zake vizuri, upo uwezekano wa vituo vya mafuta kupewa maelekezo kuacha kuweka mafuta kwenye misafara ya TL.

TL amekuwa akitumia usafiri wa ardhini kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa shughuli ya kutafuta wadhamini, na kila anapofika mikoani hupokelewa na mamia kwa maelfu ya watu jambo linalo wakera ccm.

Kwahiyo njia ambayo wataona itaweza kumzuia au kumuongezea vikwazo ni kutoa maelekezo kwa vituo vya mafuta kuacha kutoa huduma hiyo kwa misafara ya mgombea huyo. Msishangae kuona hilo likitekerezwa labda waache baada ya kuona Uzi huu.

Ombi langu uongozi wa chadema uwe macho na makini juu ya mbinu hizi chafu za hawa nzi wa kijani kwani hawana hoja za msingi zaidi ya fujo.
 
Nakimbia kupanda ndege... Muache atumie gari aoene maendeleo ya Mago toka waziri mapaka Rais.
Jana jioni Lisu kapokelewa Nwamboni Tanga na vijana watatu wa nne wa boda boda. This time lazima ajue kuwa wa Tz sio wale alio wadanganya kuwa anepigwa risasi na watu wasio julikana upande wa kulia ambao ndio upande dereva wake walikuwepo.
 
Andika vizuri kwanza ndio uje kuchangia
 
Watu wanaona wasipoteze muda wao kea sababu tume yenyewe ni ya Meko
 
Hebu weka picha kuthibitisha unachoongea sio uzushi
 
Hiyo hoja ya upande ni hovyo,,
We unafikiri ye mwenyewe alipoona hatari alizubaa bila angalau kujificha ndani ya gari?
Sasa kama aligeuka we unajuaje?

Uonevu na Ukatili ndio unaowafanya mpate upinzani mkubwa.
 
Mwanahabari Huru take note of that
 

Kumbe ulikuwa unashambulia ukiwa upande wa kushoto !?
 
Mikakati ya kuruka kila kihunzi kitakachowekwa mbele yake imeandaliwa kitambo! Waache waje, hata wakifunga barabara vuguvugu litasonga mbele, labda wafunge Oxygen!
 
Wakimzuia kumuwekea mafuta tutaweka mafuta kwenye gari zetu tutapiga nyoka tutajaza gari zetu za M4C! Safari ya ukombozi lazima isonge mbele

#MwagaPombeChini_October28/2020
 
Huu uongo umechelewa sana kuletwa humu JF. Yaani keishamaliza kutafuta wadhamini huku Bara na leo anaenda Zanzibar ndio mnakumbuka kuwa atanyimwa mafuta? Very poor timing of the story!

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Huu uongo umechelewa sana kuletwa humu JF. Yaani keishamaliza kutafuta wadhamini huku Bara na leo anaenda Zanzibar ndio mnakumbuka kuwa atanyimwa mafuta? Very poor timing of the story!

TUKUTANE OKTOBA 28!
Angalia vyombo vya habari wewe gamba, huoni vilivyoshikishwa adabu.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni jepesi sana kulishinda labda wewe ndio unaliona gumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…