Uchaguzi 2020 Tunapoelekea vituo vya mafuta navyo vitapigwa stop kumjazia mafuta

Uchaguzi 2020 Tunapoelekea vituo vya mafuta navyo vitapigwa stop kumjazia mafuta

Kufuatia vikwazo mbalimbali anavyowekewa mgombea urais wa chama cha CHADEMA ndugu Tundu lisu na serikali ya ccm ili ashindwe kufanya kampeni zake vizuri, upo uwezekano wa vituo vya mafuta kupewa maelekezo kuacha kuweka mafuta kwenye misafara ya TL.

TL amekuwa akitumia usafiri wa ardhini kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa shughuli ya kutafuta wadhamini, na kila anapofika mikoani hupokelewa na mamia kwa maelfu ya watu jambo linalo wakera ccm.

Kwahiyo njia ambayo wataona itaweza kumzuia au kumuongezea vikwazo ni kutoa maelekezo kwa vituo vya mafuta kuacha kutoa huduma hiyo kwa misafara ya mgombea huyo. Msishangae kuona hilo likitekerezwa labda waache baada ya kuona Uzi huu.

Ombi langu uongozi wa chadema uwe macho na makini juu ya mbinu hizi chafu za hawa nzi wa kijani kwani hawana hoja za msingi zaidi ya fujo.
Wanahangaika bure zitatumika gari binafsi kuweka mafuta halafu gari zake zitawekewa mafuta Kama kawaida.
 
Nakimbia kupanda ndege... Muache atumie gari aoene maendeleo ya Mago toka waziri mapaka Rais.
Jana jioni Lisu kapokelewa Nwamboni Tanga na vijana watatu wa nne wa boda boda. This time lazima ajue kuwa wa Tz sio wale alio wadanganya kuwa anepigwa risasi na watu wasio julikana upande wa kulia ambao ndio upande dereva wake walikuwepo.
Great thinker@ubora wako
 
Mnàambiwa muache hizo bangi hamtaki kusikia. Kwa hiyo risasi zinachagua pa kuingilia. Very stupid indeed.
Kweli wewe Bange kweli, gari liwe na matundu upande wa kushoto ila mtu aumie upande wa kulia hii niakili au matopee.
 
Kweli wewe Bange kweli, gari liwe na matundu upande wa kushoto ila mtu aumie upande wa kulia hii niakili au matopee.
Wewe unahangaika bure kuitetea serikali kwenye hili sakata.
You're wasting your time to defend the indefensible. It was a state sponsored thuggery, only cretins, like you, can argue.
 
Wewe unahangaika bure kuitetea serikali kwenye hili sakata.
You're wasting your time to defend the indefensible. It was a state sponsored thuggery, only cretins, like you, can argue.
Basi kila mtu aamini anacho amini ili tuwe poa tusubiri 28/10/2020
 
Basi kila mtu aamini anacho amini ili tuwe poa tusubiri 28/10/2020
Hiyo October 28 haihusiani na jaribio la kutaka kumuua Lissu ukweli wa serikali kuhusika unabaki palepale.
 
Mungu Yupo Na TL, Alimponya na Risasi Ili Mipango Ya Kuing’oa CCM itimie...

Akikosa Mafuta Atapanda Hata Punda Ili Mipango Ya Mungu Itimie
hilo haliwezekani kwani si rahisi tu kuweka ya kwenye mapipa au kutembea na tank lake la mafuta na kujijazia atakapo
 
Back
Top Bottom