Uchaguzi 2020 Tunapoelekea vituo vya mafuta navyo vitapigwa stop kumjazia mafuta

Lissu kamuiga Magu kwa kutembelea usafiri wa ardhini, mutaiga sana mwaka huu.
 
Kwani lazima aende mwenyewe kuweka hayo mafuta? Wanachama kibao atawatuma labda wawanyanganye magari ya kusafiria
 
Mnàambiwa muache hizo bangi hamtaki kusikia. Kwa hiyo risasi zinachagua pa kuingilia. Very stupid indeed.
 
Hujaenda shule tu!?
 
Onesheni coverage yake ITV na Star TV ili wananchi washuhudie siyo hizi blaa blaah za keyboard
 
Matusi ya nini mkuu, ukiwa mtu mzima jifunze kuwa frexible, hoja yako haiwezi kupoteza maana, ukiiwasilisha bila matusi.
 
NDIO MAANA LEPOLEPO ANAWASHUSHA HADI BUKU BUKU!
 
Lissu kamuiga Magu kwa kutembelea usafiri wa ardhini, mutaiga sana mwaka huu.
Kwahiyo tangu tupate Uhuru nchi hii magu pekee ndiye aliye/ anayetumia usafiri wa ardhini, kweli kichwa unatunzia kamasi badala ya ubongo.
 
Reactions: BAK
Jamani mliopo hapo idodomia ccm moshi mweupe haujafuka bado?
 
Tl ccm wasimkata NEC huko basi wajue ikulu lissu anaingia , ili kuokoa jahazi necccm wamkate
 
Lissu hana mpinzani lkulu ni yake. Huyo bwana Nyapara wa barabara tutampangia kazi nyingine ya kufanya kule Mahakama ya kimataifa ya Uharifu Uholanzi.
 
Tuna utawala wa kipumbavu sana, enzi za Nyerere watawala wa namna hii aliwaita WASHENZI NA WENDAWAZIMU. Kushindwa kuwajibika kwa serikali hii katika matukio ya kifedhuli yanayoendelea nchini, inamaana TANZANIA HATUNA SERIKALI. Bali kuna GENGE TU linalotawala kihuni na kihalifu, utawala wa namna hii SASA BASI.

MITANO YA MKONO WA CHUMA, INATOSHA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…