Wakuu, kwa kweli hii imekuwa too much. Kwa sasa baada ya ripoti kutoka sasa yamekuwa ni mabishano ya nani hasa aliyefungua mlango wa ndege.
Je, hii ina umuhimu gani kwenye kudai uwajibikaji ukizingatia ajali ile imepoteza uhai wa watu ambao wanategemewa na familia zao na jamii kiujumla.