N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Nov 25, 2022 #1 Wakuu, kwa kweli hii imekuwa too much. Kwa sasa baada ya ripoti kutoka sasa yamekuwa ni mabishano ya nani hasa aliyefungua mlango wa ndege. Je, hii ina umuhimu gani kwenye kudai uwajibikaji ukizingatia ajali ile imepoteza uhai wa watu ambao wanategemewa na familia zao na jamii kiujumla.
Wakuu, kwa kweli hii imekuwa too much. Kwa sasa baada ya ripoti kutoka sasa yamekuwa ni mabishano ya nani hasa aliyefungua mlango wa ndege. Je, hii ina umuhimu gani kwenye kudai uwajibikaji ukizingatia ajali ile imepoteza uhai wa watu ambao wanategemewa na familia zao na jamii kiujumla.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 25, 2022 #2 Barafu ameshafunga mjadala