Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Mtu mwenye akili timamu huwezi kusikiliza USHUZI WA brazaj
Sijui anachukuliaje wanaokufa kwenye kesi mbalimbali anahisi kila marehemu ana mapungufu ya kujilinda kiafya.

Tena hakuna watu wanaojipenda kama wahaya ile individually. (Wanatahadhari mno)
Kama ikiwa tu mtu ameanguka kwa kutoka damu mwilini kulingana na taarifa za Sasa , trust me br. hakuna muhaya ataesogea eneo hilo, ule upendo wa kufunga ufahamu hawana sio kama watu wenye Asili ya pwani(ukarimu)

Na kizuri zaidi serikali imetuma miongozo kwenye ngazi ya mkoa, harmashauli ,KATA mpaka vijiji juu hatua za kuchukua kuzibiti ugonjwa huo.

ELIMU inatolewa HALMASHAURI nzima ndani ya Kagera

Watu waliokuwa karibu na ile cycle ya wale marehemu wapo kwenye uangalizi maalum.


Hospitali ya wilaya imefanywa kituo maalum endapo kukiwa na ONGEZEKO lolote la wagonjwa.

Taarifa kwa Taifa Zima zimeripotiwa kuhusu ugonjwa.


NB: Nipo kagera nakula senene[emoji41] na hakuna ongezeko la wagonjwa kwa Sasa . Tuisikilize serikali. Na kukiwa na mabadiliko mtajua msijali wakulungwa.

Watu wakagera hawana Siri kukiwa na Hali hatarishi ama ongezeko MTAJUA tu.


All in all Hali ni shwali. Nazani ingekuwa hatari zaidi kama huu ugonjwa ungeanzia pwani na Dar (upendo wa kuhurumia ndugu umejaa kwa baadhi ya walio wengi huko) plus msongamano wa watu n.k.


Ila kagera unaweza ukamaliza saa Zima hata na nusu ukakutana na mtu mmoja kama sio wawili, watatu.

Eneo kubwa kuliko IDADI ya watu kwaio direct contact inakuwa ngumu mno.

Kuhitimisha: watu wa Maruku wamepigwa bumbuwazi kuliko uhalisia uliopo pale mpaka Sasa papo shwari mno , wanauliza kama Kuna Maruku nyingine ama ni hii ya kwao ? Hio yenye Marburg.

TAHAZARI ZINACHUKULIWA.
 
Wapi nimesema sitakufa kizembe? Kulikoni kuwekeana maneno mdomoni?
Br. Hivi nikikwambia hakuna Marburg kabisa pale Maruku utaamini ?

Nikwakuwa waliofariki siku hio walikuwa ni ndugu tu. (kwaio ikawa ajabu kidogo ndugu wa Koo moja kufariki kwa siku moja pasina ajali Wala janga la asili). Ndio uchungunzi ukaanza lkn wana-Maruku baadhi hawako sambamba ama hawakubaliani na hizo taarifa za chanzo cha vifo vyao .


Maruku haipo mpakani na Uganda. Kwa wanaodai Taifa tumeutoa Uganda .

Mfano:. Ugonjwa huo uwe (CHANIKA ZINGIZIWA) kuwakilisha Uganda kisha kutoka huko ukaruka mitaa yote hapo kati ikaachwa salama alafu wakaambukizwa watu KIGAMBONI ULONGONI... kuwakilisha Maruku . ( Kwa trending ya Ebola ama Marburg unavyojua wewe ni rahisi hayo maeneo ya kati kuwa salama kama kweli hilo gonjwa lilitokea huko)

Maruku ni Salama.

Kukiwa na ongezeko la wagonjwa ama Hali hatarishi mtajua tu. Wahaya hawana Siri kwenye swala nyeti[emoji41]


Rejea kipindi cha COVID mkoa ulioongoza kwa kupatia chanjo raia wake Kagera wamo licha ya kuwa IDADI ya watu katika mkoa ni ndogo.

Wahaya wanaojipenda tena kibinafsi mmoja mmoja.

Kuhusu nyungu ndio mpaka mikaratusi iliisha[emoji16]. Walipiga DIVERSIFICATION.

HITIMISHO: Serikali imejitahidi kwa Sasa na tahadhari zinachukuliwa kwa wananchi wote na mkoa mzima. Kukiwa na mabadiliko mtajua.
 
Back
Top Bottom