Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Inafikirisha sana...yaani recently,Uganda walkua na mlipuko wa Ebola,apa kwetu Tz mpakani na Uganda kuna mlipuko wa marburg??
 
Inafikirisha sana...yaani recently,Uganda walkua na mlipuko wa Ebola,apa kwetu Tz mpakani na Uganda kuna mlipuko wa marburg??

"The fifth outbreak of Ebola virus disease (EVD) due to Sudan ebolavirus in Uganda was declared over on 11 January 2023."
 
Tunasikitishwa na neno lenu ovu hili - "taharuki." Neno hili liliasisiwa awamu Ile ya giza. Ni aibu kujaribu kulileta tena katikati ya gonjwa hili leo ambalo nchi nyingine isipokuwa sisi wanalichukulia seriously.

Hata hivyo nikupongeze kuwa ni hatua njema angalau kukiri wazi wazi hivi:

"Haya ni magonjwa yaliyo kwenye grupu moja HAEMORRHAGIC FEVER.
Yanabeba sifa zinazofanana ila visababishi ni tofauti."

Ndani ya lindi la ugonjwa huu umuhimu wa taarifa sahihi hauwezi kudogoshwa. Watu ni lazima wafahamishwe nini kipo mlangoni.

Kiswahili kimekua lini kiasi cha kuweza kudadavua Kwa uwazi kuwa zipo aina ngapi za malaria, ukimwi, au grupu la haemorrhagic fever na vikorombwezo vyake?

Kwa nini mngependa kutuhodhi kiasi hiki kama mbuzi mbuzi tu? Kwamba maisha yetu nani huyo aliye na uchungu zaidi nayo kuliko sisi wenyewe?

Hivi tangia taarifa ya mwanzo wagonjwa 8 vifo 5 hatupaswi kujua maendeleo yoyote? Kwamba ugonjwa umekwisha, unapungua au unaongezeka?

Kwamba hatukupeleka sisi sample? Inahusiana vipi hapa ndugu? Mbona hata tulipo ambiwa sample za mapapai, mbuzi, oil nk zimewahi kuwapo walikuwa tayari kuulizwa kulikoni kutuchukulia poa?

Kama internet ni intaneti, router ni ruta, messenger ni mesenja, hospital ni hospitali, meza ni meza nk, Kwa Nini Marburg siyo Ebola?

Ujanja ujanja huu ni Kwa maslahi ya nani ndugu zangu?
Unaijua contact tracing chief[emoji23][emoji23][emoji23] na unajua kwanini ugonjwa kuucontain ni rahisi[emoji23][emoji23][emoji23], mkuu halafu nikupe habari, wagonjwa watatu wapo fresh kabisa nammoja anaendelea na usafishaji wa figo maana alikuwa nailo tatizo. [emoji38][emoji38][emoji38] acha taharuki utakufa, utapata hypochondriasis ujiue kwamental disorders za ajabu. By the way ukipata maana ya hypochondriasis utajua unasumbuliwa na tatizo gani lakiakili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna popote niliposema Marburg scientifically ni ebola wala vice versa. Muda wote nimekuwa wazi:

"Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?"

Kwani issue ya Malaria na plasmodium ilikuwa ya nini ndugu?

Kulikuwa na haya pia, vipi hukuyaona?

Kwanini Congo, Uganda, Gabon, Guinea, Sierra Leone, Liberia na kote kwingine serikali imekuwa ikisema ilikuwa ebola?

Hatuna haki ya kujua maendeleo ya ugonjwa huu?
Curiosity killed a cat [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], hivi unajua watu waliowahi kufariki kwa ugonjwa huo hasa west Africa, Angola specifically ulijua walikufa kwanini, ni homework nenda kasome articles ukisoma utapata majibu kwanini kuna kitu ambacho ni very social ila kiwafanya watu wafe vibaya sana. Mkuu, wewe kweli ni mbishi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya ya kujifanya unayapata wapi ndugu? Kujifanya si lugha staha. Nami nikikwambia unajifanya mjuaji utasema je? Kwani wewe nani?

Zingatia lugha mjomba humu hatujuani. Usinitishe wala usinifokee!

Ulichoandika ni sawa na 2 + 2 = 4. Yaani correct but irrelevant.

Kama una nia ya mjadala wenye tija pana maswali matano hapa kama ikikupendeza:

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Mawili hayo kutokea katika preamble hii:

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

Na mkazo huu:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Maswali matatu ya mwisho ni haya hapa:

. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ninakazia
:

Ikikupendeza ndugu mjumbe.
Ugonjwa kutojulikana uswahilini haimaanishi jina linalojulikana ndilo litumike wakati siyo sahihi hata neno EBOLA siyo la kiswahili lakini mwishowe watu walielewa . Ila mwisho wa siku jina litazoeleka kwa sababu litasemwa. Kwani coronaviruses si walikuwepo tangu 1962 na walikuwa wanasababisha magonjwa kuna mswahili alijua au neno coronavirus ni la kiswahili?lakini watu walilijua hata waswahili

Haya magonjwa ni magonjwa ambayo yanaweza kuwekwa kwenye kundi la EMERGING AND RE-EMERGING INFECTIOUS DISEASES. Hii Marburg ime re- emerge kwa sababu siyo mara ya kwanza kutokea huu ukanda wetu.

Marburg virus Disease (MVD) na EBOLA virus disease (EBV) wako katika familia moja ya Filoviridae kama ilivyo chui na simba. Hivyo huwezi kumwona chui ukatangaza kuwa nimemwona simba kisa kwa kuwa wako familoa moja

Magonjwa yote haya yalikuwa yanajulikana kama HEMORRHAGIC FEVER ndiyo maana hata EBV zamani uliitwa EBOLA HEMORRHAGIC FEVER baadaye wakabadilisha majina kwa kuwa kuna dalili nyingine

Uganda imekumbwa na EBOLA hivi karibuni lakini tatizo likaisha kama lingetokea muda ule kabla ya kipindi kirefu kupita tungesema kwamba probably imetoka Uganda. Kumbuka haya ni magonjwa ya kuambukiza (infectious diseases) na yana incubation period kidogo haiwezekana ichukue muda mrefu sana ndipo ijitokeze kwetu. Soma incubation period ya EBOLA.

Epidemiolojia ya ugonjwa inaruhusu magonjwa haya kutokea kwani hata Ebola ilitokea maeneo ya vijijini huko Mityana ambako ni maporini

Katika Outbreak investigation huwa hatuangalii kwamba recently umeibuka ugonjwa gani jirani. Tunaanza na dalili na epidemiolojia ni bayana Ebola ilikuwa ya kwanza kufikiriwa lakini kwani wagonjwa wanakuwa na dalili hizohizo na epidemiolojia inaweza kuruhusu lakini walii rule out

Kwa nini nimesema wewe siyo mtaalam hii ni halisi hujui kuhusu infectious diseases siyo hilo tu wewe siyo medical personel kulingana na nilivyosoma maandika yako yote hujui kuhusu magonjwa hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa kozi ya afya chuo kikuu angeweeza kujikumbusha Microbiology/virology : Hasa family filoviridae ambapo angejua marburg na EBOLA ni virusi tofauti

Nimeghafirika baada ya kuona watu wanakueleza lakini unashupaa
 
Majibu ya maswali yako matano
1. Kwanini huo ugonjwa ulipokua nchi tofauti uliitwa Ebola
Jibu
Marburg sio Ebola kwa sababu hayo ni majina ya virus wenye features tofauti chini ya microscope so awawezi pewa jina moja.

2. Tangu lini neno Marburg likafahamika uswalini na kwanini lisiitwe Ebola tu.
Jibu
Ni virus wawili ambao wamebainishwa kwa vipimo vya science

3. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda.
Jibu
Uganda imeshapata hiyo epidemic huko nyuma, na virus Marburg natural habitat yake ni Green Monkeys; wanaopatikana Uganda.

Kwa upande wa Tanzania Kagera inapakana na Uganda na wenyeji wana interactions daily kwa namna communicable disease zinavyosambaa its fair to assume source yake ni Uganda.

4. Je Ugonjwa una dalili zilezile za ugonjwa uliotokomezwa Uganda.
Jibu
Uganda ishapata Ebola na Marburg na dalili zinafanana, sample za virus ni tofauti Kwa ivyo na magonjwa ni tofauti.

Tanzania imepima sample ya virus wamebaini ni Marburg na Uganda walishakuwa nayo.

5. Ugonjwa uliotokemezwa Uganda ulikuwa upi.

Uganda ishapata milipuko ya magonjwa yote kwa nyakati tofauti Ebola na Marburg; wanajua tofauti kutokana na tofauti ya sample za virus zake na namna ya kutibu ivyo vitu viwili tofauti.

Tafadhali jiridhishe kama umejibu maswali. Msingi wa mada ukiwa huu:

"Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Maswali ya kujibu ni haya:

1. Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika?

2. Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

3. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?

4. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?

5. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ni hayo tu ikikupendeza.

Zingatia:

2 + 2 = 4 ni sahihi ila irrelevant.
 
Tafadhali jiridhishe kama umejibu maswali msingi wa mada ukiwa huu:

"Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Maswali ya kujibu ni haya:

1. Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika?

2. Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

3. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?

4. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?

5. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ni hayo tu ikikupendeza.

Zingatia:

2 + 2 = 4 ni sahihi ila irrelevant.
Majibu ya post no 288 # ya Domaradzka yanatosha

👋
 
Hakipo kinachokolezwa hapo. Zingatia mada ni mahsusi kwa watanzania. Neno uswahilini linawakilisha.

Zingatia ugonjwa huu haukuwahi kuitwa Marburg hapa nchini siku yoyote kabla.

Nini kimebadilika?
Haukuwahi kutokea kabla that's why ... Though umewahi kutokea kwa majirani zetu ... marburg na Ebola wote ni virus wanatokea family moja .. Filoviridae.. same symptoms different severity ... No Definitive Treatment ... marburg ni marburg ... kiswahili chake hakipo labda ulitaka waite vipi??

cc Bakita kwa definition ya marburg
 
Maelezo yako yamezingatia kuwa ni kwa mara ya kwanza Tanzania kuuita Marburg baada ya kuuita ugonjwa huo huo ebola? Kwani ulipokuwa Congo, Uganda, Gabon, Guinea, Sierra Leone, Liberia nk tuliuita je? Tukiaminishwa watu wa huko ni wala popo na nyani?

Umezingatia pia kuwa maneno haya "similar" na "slightly" kama yalivyotumika kwenye mfanano na tofauti hapa chini?

Marburg and Ebola viruses are filamentous filoviruses that are distinct from each other but that cause clinically similar diseases characterized by hemorrhagic fevers and capillary leakage. Ebola virus infection is slightly more virulent than Marburg virus infection."

Bila shaka utakubaliana nami, kwetu ugonjwa ni ebola ila scientifically ni Marburg.

Kama ndivyo faida gani mswahili anapata kwa kumwambia tunakabiliwa na Marburg badala ya kumwambia anakabiliwa na Ebola anayoijua?

Akijua ni ebola si ataacha hata kula nyani na popo? Sasa Marburg atoke vipi? Ugonjwa mpya siyo?

Kwanini tunataka kucheza na lugha ya beberu kuwahadaa watu? Ndiyo maana kwenda robo fainali ni habari kubwa kuliko roho za watu siyo?
Ebola ni Ebola ... marburg ni marbug they are different species
 
Labda kama ghafla unataka kuiandika historia upya.

Kiswahili ni kifinyu. Ebola ni neno la kigeni lililotoholewa kwenye kiswahili. Likaeleweka na kukubalika na kuwa rasmi kuhusiana na ugonjwa huu.

Marburg ni neno jipya na utohozi wake au kwa kiswahili tungali jina hatuna.

Baada ya siku zote kuelezana ebola ulipokuwa kwingine kote, sasa tunataka kutoka kivingine:

"Kwa ugonjwa ule ule utokanao na kula popo au nyani, wenye dalili zile zile, kujikinga kule kule na madhara yale yale."

Mtawadanganya wajinga werevu watawang'amua.

Cc: sudan iii
unahisi neno Ebola ni kiswahili?... Asee huyu mtu ni mjuaji wa hovyo kuwahi kutokea hapa JF
 
Lakini si tulisha kubaliana details ni kwa professionals kama kwenye yale mambo ya Malaria?

Kwa kusema ebola kila mtanzania mara moja atajua tuna nini mlangoni na kuchukua tahadhali husika mapema.

Kwanini kujaribu kufunza mbwa Mzee majina mapya? Hasa hasa kama kila kitu kuuhusu huu ni kile kile kasoro jina la kirusi ambacho nacho ni cha jamii ile Ile?

Ni kweli hatuoni tunataka kujificha kwa kufumba macho kama watoto wadogo?
kwamba umevamiwa na Tiger unatangazia majirani kuwa umevamiwa na simba .. kwa kuwa wote wanafanana na humjui huyo Tiger?

Mzee unaujuaji wa hovyo sana .

Elimu itolewe tuu kutokana na standard za WHO,... na hizi issue huwa haiachiwi nchi moja tuu ni swala la ulimwengu wote.. sasa wewe uwaambie WHO kuwa una Ebola at the Time una marburg .. though zote ni haemorhagic?

kutojua kwako neno marburg hakufanyi kuwa haikuwepo.
 
Ugonjwa kutojulikana uswahilini haimaanishi jina linalojulikana ndilo litumike wakati siyo sahihi hata neno EBOLA siyo la kiswahili lakini mwishowe watu walielewa . Ila mwisho wa siku jina litazoeleka kwa sababu litasemwa. Kwani coronaviruses si walikuwepo tangu 1962 na walikuwa wanasababisha magonjwa kuna mswahili alijua au neno coronavirus ni la kiswahili?lakini watu walilijua hata waswahili

Haya magonjwa ni magonjwa ambayo yanaweza kuwekwa kwenye kundi la EMERGING AND RE-EMERGING INFECTIOUS DISEASES. Hii Marburg ime re- emerge kwa sababu siyo mara ya kwanza kutokea huu ukanda wetu.

Murburg virus Disease (MVD) na EBOLA virus disease (EBV) wako katika familia moja ya Filoviridae kama ilivyo chui na simba. Hivyo huwezi kumwona chui ukatangaza kuwa nimemwona simba kisa kwa kuwa wako familoa moja

Magonjwa yote haya yalikuwa yanajulikana kama HEMORRHAGIC FEVER ndiyo maana hata EBV zamani uliitwa EBOLA HEMORRHAGIC FEVER baadaye wakabadilisha majina kwa kuwa kuna dalili nyingine

Uganda imekumbwa na EBOLA hivi karibuni lakini tatizo likaisha kama lingetokea muda ule kabla ya kipindi kirefu kupita tungesema kwamba probably imetoka Uganda. Kumbuka haya ni magonjwa ya kuambukiza (infectious diseases) na yana incubation period kidogo haiwezekana ichukue muda mrefu sana ndipo ijitokeze kwetu. Soma incubation period ya EBOLA.

Epidemiolojia ya ugonjwa inaruhusu magonjwa haya kutokea kwani hata Ebola ilitokea maeneo ya vijijini huko Mityana ambako ni maporini

Katika Outbreak investigation huwa hatuangalii kwamba recently umeibuka ugonjwa gani jirani. Tunaanza na dalili na epidemiolojia ni banana Ebola ilikuwa ya kwanza kufikiriwa lakini kwani wagonjwa wanakuwa na dalili hizohizo na epidemiolojia inaweza kuruhusu lakini walii rule out

Kwa nini nimesema wewe siyo mtaalam hii ni halisi hujui kuhusu infectious diseases siyo hilo tu wewe siyo medical personel kulingana na nilivyosoma maandika yako yote hujui kuhusu magonjwa hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa kozi ya afya chuo kikuu angeweeza kujikumbusha Microbiology/virology : Hasa family filoviridae ambapo angejua marburg na EBOLA ni virusi tofauti

Nimeghafirika baada ya kuona watu wanakueleza lakini unashupaa hata kama hawana expertise kubwa lakini naona wengine walijaribu

Nadhani utakubaliana nami kuwa 2 + 2 = 4 ni jibu sahihi lakini relevancy ni suala jingine. Hata hivyo within limits niijibu post yako yote kifungu kwa kifungu kama ilivyokuja.

Nikiri kuwa angalau na wewe we are making some good progress. Alisema JK mnyonge mnyongeni.

Msingi wa mada ni huu hapa:

"Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Ni jambo la kheri kuwa kwa jibu lako kwenye swali namba 1, umekuwa frank enough. Nikupongeze kwa hili:

1. Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika?

Ninalisoma jibu lako wazi wazi kuwa, hadi juzi neno Marburg halikuwa linafamika uswahilini. Kwamba kama ilivyokuwa kwa ebola zama zile zisizojulikana, mbwa wazee hawa watajifunza kuanzia sasa jina hili jipya Marburg.

2. Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Ninalisoma jibu lako bayana kuwa hatukuwahi kuita haemorrhagic fever yoyote katika nchi yoyote kuwa Marburg hata lilipokuwa siyo Ebola. Kwamba imekuwa ni kawaida kwetu kuyaita magonjwa haya yote kuwa ni ebola hadi juzi tu yalipotukuta.

3. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?

Ninalisoma jibu lako kuwa hilo ni kweli na kuwa hilo halina ubishi. Hata hivyo kuweka rekodi sawa sawa badala ya kujaribu kuruka ruka kama unavyoonekana kufanya ebola imetokomezwa Uganda mara ya mwisho 11/1/2023.

Marburg imekuwapo Uganda mara mbili na kutokomezwa 8/12/2017 na pia September 2007.

"Hii bila kusahau historia zetu sugu za kupima mbuzi, oil na hata mapapai badala ya watu."

Ninakuitisha kuhuisha majibu yako kamili haya hapa kuhusiana na swali hili:

"Uganda imekumbwa na EBOLA hivi karibuni lakini tatizo likaisha kama lingetokea muda ule kabla ya kipindi kirefu kupita tungesema kwamba probably imetoka Uganda. Kumbuka haya ni magonjwa ya kuambukiza (infectious diseases) na yana incubation period kidogo haiwezekana ichukue muda mrefu sana ndipo ijitokeze kwetu. Soma incubation period ya EBOLA."

4. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?

Hili hukujibu.

5. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Hili umekubali bayana kuwa ni kweli kama ilivyo kwa swali #3 tuweke rekodi sawa. Ebola kwa mara ya mwisho Uganda imetokomezwa 11/1/2023.

Yatokanayo:

Nisiache kurejea kwenye maeneo uliyo drift astray kama ulivyo penda. Kwamba umegundua miye si mtaalamu wa afya wala hata medical student:

(I) Nyuma ya fake ID kiutaratibu huwa hatujuani mjomba. Hivyo ni haki yako kusema lolote utakalo. Nami siwajibiki kukujibu kwenye hilo.

(Ii) Zingatia msingi wa hoja:

Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Zingatia pia madhara ya kuwasilisha taarifa ya ugonjwa huu kwa jina hili jipya uswahilini:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

(III) Kwamba umeghafirika baada ya kuona watu wananieleza lakini ninashupaa:

Hii ni taarifa ya kusikitisha isiyokuwa na ukweli wowote labda kama wewe ni shetani, jini, malaika, au Mungu.

Nisiache kukutambua na ID yako ya msaada:

IMG_20230323_205616.jpg

Kwa miaka yako 7 ya kazi una posts 134 pamoja na za kwenye huu uzi?

"No wonder you're struggling with members anonymity very irresponsibly."

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Mwongozo wako tafadhali.
Ngoja nkafuatilie mkuu then ntakuja nikujibu chief

Regards!
 
Mkuu elimu haina mwisho si nadra kuwa wazi kuelimishana pia. Kwa kuanzia mwongozo wako hapa ingependeza zaidi:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ustaraabu ni kujadili mambo kistaarabu siyo kama like Mburumundu lenye BICHWA KOMWEE.
Hahaha Sawa mkuu ntarudi mkuu ngoja nifuatilie mitandaoni then ntakuja nkupe jibu sahihi
 
Nadhani utakubaliana nami kuwa 2 + 2 = 4 ni jibu sahihi lakini relevancy ni suala jingine. Hata hivyo within limits niijibu post yako yote kifungu kwa kifungu kama ilivyokuja.

Nikiri kuwa angalau we are making progress. Alisema JK mnyonge mnyongeni.

Msingi wa mada yangu ni huu hapa:

"Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Ni jambo la kheri kuwa kwa jibu lako kwenye swali namba 1 umekuwa very frank. Nikupongeze kwa hili:

1. Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika?

Ninalisoma jibu lako wazi wazi, hadi juzi neno Marburg halikuwa linafamika uswahilini. Kwamba kama ilivyokuwa kwa ebola mbwa wazee hawa watajifunza sasa jina hili jipya.

2. Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Ninalisoma jibu lako bayana kuwa hatukuwahi kuita haemorrhagic yoyote katika nchi yoyote kuwa Marburg hata lilipokuwa siyo Ebola. Kwamba imekuwa ni kawaida kwetu kuyaita magonjwa haya ya haemorrhagic fever ebola hadi juzi yalipotukuta ndiyo tukaanza kuwa specific.

3. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?

Ninalisoma jibu lako kuwa ni kweli. Hata hivyo kuweka rekodi sawa sawa badala ya kujaribu kuruka ruka kama unavyoonekana kufanyq, ebola imetokomezwa Uganda mara ya mwisho 11/1/2023.

Marburg imekuwapo Uganda mara mbili na kutokomezwa 8/12/2017 na pia September 2007.

Hii bila kusahau historia zetu sugu za kupima mbuzi, oil na mapapai badala ya watu.

Ninakuitisha kuhuisha majibu yako kamili haya hapa kuhusiana na swali hili:

"Uganda imekumbwa na EBOLA hivi karibuni lakini tatizo likaisha kama lingetokea muda ule kabla ya kipindi kirefu kupita tungesema kwamba probably imetoka Uganda. Kumbuka haya ni magonjwa ya kuambukiza (infectious diseases) na yana incubation period kidogo haiwezekana ichukue muda mrefu sana ndipo ijitokeze kwetu. Soma incubation period ya EBOLA."

4. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?

Hili hukujibu.

5. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Hili umekubali bayana kuwa ni kweli kama ilivyo kwa swali #3 tuweke rekodi sawa. Ebola kwa mara ya mwisho Uganda imetokomezwa 11/1/2023.

Yatokanayo:

Nisiache kurejea kwenye maeneo uliyo drift astray kama ulivyo penda. Kwamba umegundua miye si mtaalamu wa afya wala hata medical student:

(I) Nyuma ya fake ID kiutaratinu huwa hatujuani mjomba. Hivyo ni haki yako kusema lolote utakalo nami siwajibiki kukujibu kwenye hilo.

(Ii) Zingatia msingi wa hoja:

Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Zingatia pia madhara ya kuwasilisha taarifa ya ugonjwa huu kwa jina hili jipya uswahilini:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

(III) Kwamba umeghafirika baada ya kuona watu wananieleza lakini ninashupaa:

Hii ni taarifa ya kusikitisha isiyokuwa na ukweli wowote labda kama wewe ni shetani, jini, malaika, au Mungu.

Nisiache kukutambua na ID yako ya msaada:

View attachment 2563096

Kwa miaka yako 7 ya kazi una posts 134 pamoja na za kwenye huu uzi?

"No wonder you're struggling with members anonymity."

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
Nimekwambia wewe si mtaalam wa haya masuala ni bora ungekaa kimya maana kuzidi kuandika unajianika ulivyo mbumbumbu

Kitendo cha kusema sijataja dalili wakati nimezitaja kitalaam kwamba EVD na MVD zote ni hemorrhagic fever. Kwa neno hilo wataalam wanajua ni dalili zipi.

Bora uwe unanyamaza. Huwa nazungunzia issues siyo lazima niandike kitu chochote ili kujaza jamii forums. Kwanza muda huo wa Kuwaelewesha watu kama wewe mnaopotosha huwa sina. Leo ndo siku pekee nimeandika humu mara tatu kumjibu mtu asiyeelewa
 
Nimekwambia wewe si mtaalam wa haya masuala ni bora ungekaa kimya maana kuzidi kuandika unajianika ulivyo mbumbumbu

Kitendo cha kusema sijatajs dalili wakati nimezitaja kitalaam kwamba EVD na MVD zote ni hemorrhagic fever. Kwa neno hilo wataalam wanajua ni dalili zipi.

Bora uwe unanyamaza. Huwa nazungunzia issues siyo lazima niandike kitu chochote ili kujaza jamii forums. Kwanza muda huo wa Kuwaelewesha watu kama wewe mnaopotosha huwa sina. Leo ndo siku pekee nimeandiks humu mara tatu

Mkuu 2 + 2 = 4. Very correct ila hapa ni irrelevant.

Nimechukua muda kukujibu kifungu kwa kifungu. Ulipaswa kuonyesha wapi nimekunukuu sivyo kama ulidhani hivyo kama nia ni mjadala wenye tija.

Kwamba server kujaa? Hiyo ndiyo kazi yake kujaa mjomba.

Povu tena mkuu?

IMG_20230323_205616.jpg

Miaka 6 ya kazi posts 134. Hizi tunazijua kama ID za msaada.

Karibu JF.

Ambako, with Fake ID we dare to talk openly!
 
Afu juzi BBC Swahili wanatangaza li Antony diallo la star tv likakatiza matangazo ili wa Tanzania wassisikie.

mitanzania inaweza kuwa mijinga ila siyo wote, wengine tunajitambua nini tunafanya

EBOLA IPOOO!!!!
Huu uzwazwa wa enzi za Magufuli ishakuwa cancer , majitu yanaogopa kuongea ukweli na kutahadharisha uma watu wachukue tahadhali , uzwazwa wa hali ya juu kabisa ,ngoja watu waanze kudondoka kama kuku wa mdondo ndio akili zikae
 
Back
Top Bottom