Tunapokuwa wepesi kushutumu mauaji ya Viongozi wetu nasi tujiulize tunawatendea mema tunaowaongoza au tunawatesa?

Tunapokuwa wepesi kushutumu mauaji ya Viongozi wetu nasi tujiulize tunawatendea mema tunaowaongoza au tunawatesa?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Hakuna Raia anayependa Kuua Rais / Kiongozi wake na ukiona unaviziwa Kuuwawa au Umeuwawa jua umewakera Wananchi wako katika Kiwango cha wao kushindwa Kuvumilia / Kukuvumilia.
 
Wanasema mwili ukichoka hutoa jasho
Lakini

Moyo ukichoka hutoa maamuzi

Viongozi wajitafakari
 
Back
Top Bottom