M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 Jul 9, 2022 #1 Hakuna Raia anayependa Kuua Rais / Kiongozi wake na ukiona unaviziwa Kuuwawa au Umeuwawa jua umewakera Wananchi wako katika Kiwango cha wao kushindwa Kuvumilia / Kukuvumilia.
Hakuna Raia anayependa Kuua Rais / Kiongozi wake na ukiona unaviziwa Kuuwawa au Umeuwawa jua umewakera Wananchi wako katika Kiwango cha wao kushindwa Kuvumilia / Kukuvumilia.
Ilankunda1234 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 4,841 Reaction score 4,797 Jul 9, 2022 #2 Wanasema mwili ukichoka hutoa jasho Lakini Moyo ukichoka hutoa maamuzi Viongozi wajitafakari
promethus JF-Expert Member Joined Feb 22, 2016 Posts 1,164 Reaction score 1,901 Jul 9, 2022 #3 Popoma kaa kwa kutulia