Tunapolipa team ziikazie Simba. Tunawasadia Simba zaidi kujinoa na Wachezaji wetu kulegea. Saed Ramovic ameongea

Hakuna mtu asiyetambua umuhimu wa Kibu D ndio maana jana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba nikamuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
Dunduka katika ubora wako.
Screenshot_2025-01-20-10-25-17-235_com.android.chrome~2.jpg
 
Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali.

Sisi kuna matches tukicheza tunajiamulia tuwapige ngapi wapinzani. Wanafungika kichovu sana na tunadhani tupo imara. Kumbe si kweli. Tunajidanganya wenyewe na akina Chama wazee, akina Dube Mchafukoge na Mzize hapati kash kash za ukweli.

Tunapokuja Kimataifa kwenye matches za ukweli. Acha zile za yule kocha wa Al Hilal fala ameamua kutugawia sisi na AS Vita furaha. Match ambayo tulicheza na AS Vita kiukweli ilikuwa ile ya Congo. Ile tulicheza kuwapasua kweli kweli

Leo Kocha wetu anaongea kimafumbo. Kuwa hatuna ligi ngumu. Why? Anajua kuwa ligi yetu ni ya kimagumashi.

View attachment 3206227
1737427972441.jpg
 
Naunga mkono hoja wewe ni mmoja ya mashabiki wachache wa yanga wanaojitambua umeongea ukweli mtupu.
 
Kahawa ile chungu ya kijiweni huwa inanogesha sana stori zisizo na kichwa wala miguu!!
 
Muda utaongea, ligi ya NBC ni rahisi mno kwa Yanga ila sio kwa Simba kila mechi final..
Yanga kupitia GSM ana uhakika wa pwenti zaidi ya 18 za mezani kila mzunguko wa ligi. Kifupi Yanga ana uhakika wa pwenti za bure zaidi ya 36.
Soka letu ni kama vile chaguzi za kisiasa na mitiani ya wanafunzi shule! Full Janja janja!
 
Naunga mkono hoja wewe ni mmoja ya mashabiki wachache wa yanga wanaojitambua umeongea ukweli mtupu.
Najua wenzangu hawatapenda hili i dont care wananiita mkia n.k lakini niliwaambia huo ndo ukweli na umelipa kwa wenzetu zaidi. Angalia matches zetu za kuamua matokeo na matches za Simba. Sisi tunafurahia kumpiga mtu 5 za kizembe tu inapofikia tunahitaji hata bao moja kama juzi hali inakuwa ngumu.
 
Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali.

Sisi kuna matches tukicheza tunajiamulia tuwapige ngapi wapinzani. Wanafungika kichovu sana na tunadhani tupo imara. Kumbe si kweli. Tunajidanganya wenyewe na akina Chama wazee, akina Dube Mchafukoge na Mzize hapati kash kash za ukweli.

Tunapokuja Kimataifa kwenye matches za ukweli. Acha zile za yule kocha wa Al Hilal fala ameamua kutugawia sisi na AS Vita furaha. Match ambayo tulicheza na AS Vita kiukweli ilikuwa ile ya Congo. Ile tulicheza kuwapasua kweli kweli

Leo Kocha wetu anaongea kimafumbo. Kuwa hatuna ligi ngumu. Why? Anajua kuwa ligi yetu ni ya kimagumashi.

View attachment 3206227
Mlicheza na AS Vita?
 
Simba akiongoza hadi mwezi wa tatu katikati ntakubali wao ni next level
 
Back
Top Bottom