Tunapolipa team ziikazie Simba. Tunawasadia Simba zaidi kujinoa na Wachezaji wetu kulegea. Saed Ramovic ameongea

Hakuna mtu asiyetambua umuhimu wa Kibu D ndio maana jana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba nikamuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
 
Naunga mkono hoja wewe ni mmoja ya mashabiki wachache wa yanga wanaojitambua umeongea ukweli mtupu.
 
Kahawa ile chungu ya kijiweni huwa inanogesha sana stori zisizo na kichwa wala miguu!!
 
Muda utaongea, ligi ya NBC ni rahisi mno kwa Yanga ila sio kwa Simba kila mechi final..
Yanga kupitia GSM ana uhakika wa pwenti zaidi ya 18 za mezani kila mzunguko wa ligi. Kifupi Yanga ana uhakika wa pwenti za bure zaidi ya 36.
Soka letu ni kama vile chaguzi za kisiasa na mitiani ya wanafunzi shule! Full Janja janja!
 
Naunga mkono hoja wewe ni mmoja ya mashabiki wachache wa yanga wanaojitambua umeongea ukweli mtupu.
Najua wenzangu hawatapenda hili i dont care wananiita mkia n.k lakini niliwaambia huo ndo ukweli na umelipa kwa wenzetu zaidi. Angalia matches zetu za kuamua matokeo na matches za Simba. Sisi tunafurahia kumpiga mtu 5 za kizembe tu inapofikia tunahitaji hata bao moja kama juzi hali inakuwa ngumu.
 
Mlicheza na AS Vita?
 
Simba akiongoza hadi mwezi wa tatu katikati ntakubali wao ni next level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…