Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

Mhesu

Member
Joined
Nov 20, 2025
Posts
6
Reaction score
3
Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine.

Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho.
Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili.

Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa mikosi na kufungua riziki.

Tunaomba mwongozo wa madawa ya kudekia hasa sehemu zetu za kupatia riziki.

Asante sana wakuu

Magical power
Crocodiletooth
Baba Vladmir

Na wengine wote wanaojua mambo haya na sijawataja.
 
Back
Top Bottom