M Mhesu Member Joined Nov 20, 2025 Posts 6 Reaction score 3 Dec 28, 2025 #1 Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa mikosi na kufungua riziki. Tunaomba mwongozo wa madawa ya kudekia hasa sehemu zetu za kupatia riziki. Asante sana wakuu Magical power Crocodiletooth Baba Vladmir Na wengine wote wanaojua mambo haya na sijawataja.
Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa mikosi na kufungua riziki. Tunaomba mwongozo wa madawa ya kudekia hasa sehemu zetu za kupatia riziki. Asante sana wakuu Magical power Crocodiletooth Baba Vladmir Na wengine wote wanaojua mambo haya na sijawataja.