johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji
Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani
Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais
Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga
Ahsanteni sana π
Uwage unasoma Uzi na kuelewa πMagufuli alijiandaa kuwa Rais? Mbona kila siku ulikuwa unamsifia humu?
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji
Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani
Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais
Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga
Ahsanteni sana π
[/QUOTE
Lack of objectivity and particularlity π π π π π π€£π€£π€£π€π€π΄π΄π΄
Si mlisema hashindi uenyekiti Chadema? Kiko wapi?TLP in the making.
Mashine ya umbea umeanzaNimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji
Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani
Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais
Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga
Ahsanteni sana π
Si mlisema hashindi uenyekiti Chadema? Kiko wapi?
Endeleeni na ramli zenu tu zisizotimia. Kaeni tu mkijua huyo Mungu hakumponya risasi zenu 36 kwa bahati mbaya.
Mungu ana kusudi nae na anaweza kuja kuwa Rais wa JMT ukaja kuchanganyikiwa kabisa.
Kwa hiyo hakuna shida yeyote maana wewe ulikuwa shabiki namba 1 wa magufuli?Magufuli alijiandaa kuwa Rais? Mbona kila siku ulikuwa unamsifia humu?
Ni angalizo tu Maana mna Kiwanda Cha Mitusi πMashine ya umbea umeanza
Mbowe ndiye angeuwa Chadema Kwa sababu yuko kibiashara zaidi πTulikuwa tunawapa caution wajumbe ,acha waione NGONDOIGWA chama kikimfia mikononi mwake.
Mbowe ndiye angeuwa Chadema Kwa sababu yuko kibiashara zaidi π
Kuvumilia ndio ushabiki Wenyewe Bwashee πKwa hiyo hakuna shida yeyote maana wewe ulikuwa shabiki namba 1 wa magufuli?
Nimekuelewa. Hoja yangu pia ielewe.Kuvumilia ndio ushabiki Wenyewe Bwashee π
Uwage unaelewa
Wachagga wenzake akina Mrema πAlikuwa anajua kula na wenzake ,sasa hawa watakomba mboga na kukiua mazima.
Hawa wataanza kujijenga wenyewe kwanza wakati Mbowe huko alishavuka.
Uko sahihiAlikuwa anajua kula na wenzake ,sasa hawa watakomba mboga na kukiua mazima.
Hawa wataanza kujijenga wenyewe kwanza wakati Mbowe huko alishavuka.