Tunapomshangilia Tundu Lissu tusisahau kuwa hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila alikasirishwa tu na Wenje Kugombea Umakamu Mwenyekiti!

Samia ni lini amejiandaa, mbona Leo anangangania urais Tena Kwa kujiteua yeye na rafiki ake kikwete
 
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji

Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani

Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais

Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga

Ahsanteni sana 😄
Hii haibadilishi kura zilizokwisha pigwa
 
Ivi makamu anashindwaje kujiandaa kuwa mwenyekiti nini maana ya makamu?Acha kutulisha Matango poli
 
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji

Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani

Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais

Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga

Ahsanteni sana 😄
Jo,poleni kwanza kwamaumivu ya kuangukia pua,kwa kuwa haijang'oka mshukuru Mungu.Rudi tu nyumbani mission imefeli vibaya.Msichoke jaribuni tena wakati mwingine.
 
Uzuri wa jf kila ktu kipo wazi, mtu wa ccm akiandika ktu unajua tu, ni xawa na wanaompondang anko magu kwa kuxema alikuwa muuwaji. sasa hao wa hizo kauli mwachukukue af muwapeleke pale mwanjelwa_mbeya wakaongee pele ya hadhara ,hakika hata majivu hamyakuti u know why. mengi alofanya yanaonekana hata kwa kipofu.
 
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji

Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani

Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais

Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga

Ahsanteni sana 😄
...Haahaa inaitwa mkabie kwa juu😂😂
 
Si mlisema hashindi uenyekiti Chadema? Kiko wapi?

Endeleeni na ramli zenu tu zisizotimia. Kaeni tu mkijua huyo Mungu hakumponya risasi zenu 36 kwa bahati mbaya.

Mungu ana kusudi nae na anaweza kuja kuwa Rais wa JMT ukaja kuchanganyikiwa kabisa.
Naunga mkono hoja. Mimi nimekuwa nikijemea mara kadhaa kwamba Lissu ni muujiza unaotembea. Hivi watu hasa wanaomfanyia mtimanyongo, hawagopi na kujiuliza maswali? Hivi katika hali ya kawaida, kama sio muujiza unawezaji kupona kifo kwa kupigwa risasi zaidi ya 30?
Ngoja tuendelee kusubiri. Waswahili tunasema Subira yavuta heri.

Tuendelee kumwombea Lissu na kuiombea nchi yetu kwa ujmla.
 
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji

Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani

Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais

Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga

Ahsanteni sana 😄
Ni kweli Lisu hakuwa amejiandaa msimu huu kugombea Uenyekiti wa CDM ila alikuwa anautaka siku nyingi na siku zote alikuwa anasubiri hisani za Mbowe kama atamwachia, Sababu kubwa iliyokuwa inamsababisha anaogopa kugombea ni kwanza hakuwa na bajeti yoyote ya uchaguzi, pili hakuwa ametengeneza team yoyote tatu alikuwa anamuheshimu Mbowe sana kwani kamsaidia mambo mengi sana. Hii issue imetokea tu kwa bahati mbaya, sasa anatakiws ajipange la sivyo, mambo yatamlemea mda si mrefu, Gharama ya kukiendesha chama cha CDM ni kubwa sana na Chama hakina vyanzo vinavyo eleweka zaidi ya Rudhuku. Na huu ni mkutano mpaka utakapo isha utakuwa umekomba pesa zote Bank na madeni juu. Kazi anayo.
 
Attachments

  • FB_IMG_1737555749105~3.jpg
    FB_IMG_1737555749105~3.jpg
    32.3 KB · Views: 2
Ni kweli Lisu hakuwa amejiandaa msimu huu kugombea Uenyekiti wa CDM ila alikuwa anautaka siku nyingi na siku zote alikuwa anasubiri hisani za Mbowe kama atamwachia, Sababu kubwa iliyokuwa inamsababisha anaogopa kugombea ni kwanza hakuwa na bajeti yoyote ya uchaguzi, pili hakuwa ametengeneza team yoyote tatu alikuwa anamuheshimu Mbowe sana kwani kamsaidia mambo mengi sana. Hii issue imetokea tu kwa bahati mbaya, sasa anatakiws ajipange la sivyo, mambo yatamlemea mda si mrefu, Gharama ya kukiendesha chama cha CDM ni kubwa sana na Chama hakina vyanzo vinavyo eleweka zaidi ya Rudhuku. Na huu ni mkutano mpaka utakapo isha utakuwa umekomba pesa zote Bank na madeni juu. Kazi anayo.
The guy amekuwa makamu mwenye kiti kwa miaka mingapi? All that time amekuwa hapo halaf useme he wasnt ready? Get serious man

Mwenyewe anasema amekuwa ready since 2010, but hakutaka maana chama kilikuwa kinapitia nyakati zingine

Na kama angekuwa hajajiandaa asinge fanikisha ushindi.
 
Lissu ni mkweli sio mtu wa rushwa ataishi kwenye hizi siasa miaka mingi labda abadilike alewe madaraka
 
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji

Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani

Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais

Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga

Ahsanteni sana 😄
Unaamanisha miaka yake yote kama makamu mwenyekiti bado anahitaji maandalizi gani mengine kama hiyo tu huoni ni kujiandaa tosha
 
Back
Top Bottom