stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
CHUKUA HII ITAKUSAIDIA MKUU: "Mungu, ni Mungu wa visa" yaani anatengeneza kisa fulani ili kitokee kitu fulani. Hakuna jambo linatokea kwa bahati mbaya. Hata uraisi wa Magu, mbingu ilipanga. Sina hakika ukatili wake. Lakini uraisi sina mashaka.