stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Oya hivi yule Mkikuyu wa Iringa alichaguliwa kamati kuu?Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji
Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani
Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais
Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga
Ahsanteni sana π
Mtajua wenyewe. Tayari gari imewaka, inasonga. Mara utasikia hakujiandaa kuwa Rais wa JMT.Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji
Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani
Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais
Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga
Ahsanteni sana π
A single condom could have solved us a lot of shityNimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji
Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani
Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais
Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga
Ahsanteni sana π
TAL ameupiga mwingi sana kwa kutojiandaa kuwa M/Kiti. Hakika, kama angejiandaa, leo asingekuwa M/Kiti.Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji
Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka amuonyeshe YEYE ni nani
Natoa angalizo Kwa wanachadema kwamba itabidi muwe wavumilivu sana kama CCM ilivyomvumilia shujaa Magufuli Kwa sababu ilimsukumizia tu Kwenye uRais
Mchawi wa Chadema ni yule Jaluo na rafiki yake Mkikuyu wa Mafinga
Ahsanteni sana π
Hiyo ni mashine ya umbeaA single condom could have solved us a lot of shity