Tunaposema elimu ya Watanzania ni ya hapa na pale muwe mnaelewa

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Wabunge badala ya kujadili mambo ya msingi kwa ujenzi wa Taifa wamebaki wanasifia mtandio wa mama, goli la mama, waandishi wa mama, machawa wa Mama nk! Embu linganisha na wenzetu Kenya.

Na sasa eti wanaomba mitano tena!
Stupid!

IMG-20250531-WA0002.jpg
IMG-20250531-WA0003.jpg
 
➡️➡️➡️ Na hii trendi ya kuajiri wageni huko juu siyo kwenye makampuni ya simu tu. Kila mtu anajua kuwa kama unataka kuwa na serious business epuka kuweka Wabongo huko juu. Kuanzia mashule private yanayofanya vizuri, viwanda na kila aina ya makampuni huko juu utakuta sana wahindi na Wakenya. Wabongo shida wala siyo elimu bali ni upigaji, nepotism uzembe (ngono) na kutojali. Kama unataka biashara yako ikue epuka sana kuweka Wabongo huko juu. Period!

Na sasa ukiongezea na kansa hii mpya ya uchawa ndiyo kabisaaa!
 
Pamoja na sababu zingine, mashirika ya kigeni huzingatia pia kigezo cha uelewa wa Lugha. Bahati mbaya kwa waTz wengi, lugha ni tia maji
 
Ila na sisi tuna Mbongo mwenzetu kule Rwanda, na anafanya vizuri tu. Sijui ni kwenye taasisi gani ile!! Na hii ndiyo faida ya kuajiri kwa kutumia vigezo, badala ya kujuana kwa misingi ya uchawa, undugu, urafiki, ukada, nk. Nadhani ccm wana kitu cha kujifunza hapakama wana akili timamu.
 
Kenya ni shithole country, ila Tanzania ni the most shithole country. Hiyo ni kwa mujibu wa Donald Trump.
 
Ila na sisi tuna Mbongo mwenzetu kule Rwanda, na anafanya vizuri tu. Sijui ni kwenye taasisi gani ile!! Na hii ndiyo faida ya kuajiri kwa kutumia vigezo, badala ya kujuana kwa misingi ya uchawa, undugu, urafiki, ukada, nk. Nadhani ccm wana kitu cha kujifunza hapakama wana akili timamu.
..umri wa ccm si wa kujifunza, kwa wao kujifunza ni kupoteza kile kimefunika macho na kufunika ufahamu wao...madaraka!
 
CCM wanachujua elimu ni kujua kusoma na kuandika! Sasa wabunge wengi wameumbuka kuwa ni vilaza wa Mama tu kichwani pumba tupu!
 
Si kwa nafasi za juu tu, wapo wengine wanatamani hata kuajiri PS kutoka Kenya, Rwanda au SA sabb kuu nafasi ya PS ndio image ya kampuni..anavyopokea wateja, majibu yake, mavazi, uharaka wa kuhudumia wateja nk nk vitu hivi watanzania hawana..namna serikali inavyofanya imewaumba watanzania kuwa..wavivu, waongo, wezi, wana wivu, wapenda majungu, hawajali na wanafiki sana..ukiwa na watu 3 tu wa tabia hizi ni ngumu sana kampuni kufanya vizuri.. wachina wanasema kazi ya kufanywa siku 3 kenya au Zambia, kwa Tanzania inachukua wiki 2..
 
View attachment 3352177
➡️➡️➡️ Na hii trendi ya kuajiri wageni huko juu siyo kwenye makampuni ya simu tu. Kila mtu anajua kuwa kama unataka kuwa na serious business epuka kuweka Wabongo huko juu. Kuanzia mashule private yanayofanya vizuri, viwanda na kila aina ya makampuni huko juu utakuta sana wahindi na Wakenya. Wabongo shida wala siyo elimu bali ni upigaji, nepotism uzembe (ngono) na kutojali. Kama unataka biashara yako ikue epuka sana kuweka Wabongo huko juu. Period!

Na sasa ukiongezea na kansa hii mpya ya uchawa ndiyo kabisaaa!
Mnayo maoni gani hapa nyie kunguni?

Nyie kwa sasa sio chawa maana mlishahitimu level hiyo mpo kwenye level ya kunguni.

Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
 
Si kwa nafasi za juu tu, wapo wengine wanatamani hata kuajiri PS kutoka Kenya, Rwanda au SA sabb kuu nafasi ya PS ndio image ya kampuni..anavyopokea wateja, majibu yake, mavazi, uharaka wa kuhudumia wateja nk nk vitu hivi watanzania hawana..namna serikali inavyofanya imewaumba watanzania kuwa..wavivu, waongo, wezi, wana wivu, wapenda majungu, hawajali na wanafiki sana..ukiwa na watu 3 tu wa tabia hizi ni ngumu sana kampuni kufanya vizuri.. wachina wanasema kazi ya kufanywa siku 3 kenya au Zambia, kwa Tanzania inachukua wiki 2..
Kule Arusha na Moshi wanyapara wa mashamba ya maua wanatoka Kenya, Watanzania wamebaki na kazi ya kusomba mbolea! 😭😭😭
 
hapo vipi...👇👇👇

1.Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU)- Dr Tulia Ackson- Tanzania.

2.Mkurugenzi Shirika la Afya duniani(WHO) Kanda ya Africa- Professor Janabi - Tanzania.

3.Dr. Zarau Wendeline Kibwe - The Executive Director for the World Bank's Africa Group 1.
 
Ila na sisi tuna Mbongo mwenzetu kule Rwanda, na anafanya vizuri tu. Sijui ni kwenye taasisi gani ile!! Na hii ndiyo faida ya kuajiri kwa kutumia vigezo, badala ya kujuana kwa misingi ya uchawa, undugu, urafiki, ukada, nk. Nadhani ccm wana kitu cha kujifunza hapakama wana akili timamu.
Yes somebody Mushi
 
Back
Top Bottom