Tunaposema elimu ya Watanzania ni ya hapa na pale muwe mnaelewa

View: https://m.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk&pp=ygUXQ2hhcmxlcyBLaW1laSBpbnRlcnZpZXc%3D

Tanzania ina watu wa aina hivyo wa kuendesha mashirika makubwa.

Kimei ni government product maana yake serikalini kuna appropriate succession planning binafsi hapo nimejiridhisha.

Nonetheless serikalini kuna shida, shirika lolote ambalo lipo under government majority control kwa katiba yetu ni shida kupata mafanikio (efficiently controlled)

Hawa watu wanaweza kugawa tender kishamba kwa sababu (kuna mamillion ya dollars ya kuvuna kwao kwenye hiyo mikataba).

Vinginevyo kwa interview niliyoiweka kuona thamani (educational) ya huo mchango na uwezo wa Kimei kwenye maswala ya banking (na wewe unahitaji abc za industry knowledge), but trust me it’s educational kama ni MBA student/business degree graduate regardless of your specialisation

Hiyo interview ni very educational not only in MBA course.

Kwenye podcast za kugawa elimu ya bure ambapo mkurugenzi anatoa elimu ya strategic planning bure hiyo ni mfano (innovation ya CRDB ni zaidi ya elimu ya banking za ulaya)

Sasa ni jikumu lako mwanafunzi ku-apply na theory zako za darasani.

Sad CCM ina mtu kama Kimei, halafu Dr Kitila ndio head wa kutengeneza ilani yao.

Bashe ndio mshauri wa kufungua bank ya kilimo (beyond me).

Tunahitaji heroes kama Gwajima, kwanza wa kupambana kupunguza madaraka ya raisi, mengine baadae. First things, first.

Na mimi pia kuna viongozi wa wastaafu wa usalama (wakubwa) wanataka nirudi wanitengeneze kuwa kiongozi wa baadae (kwa miaka 18 ) sasa wewe ona naongea utani.
 
nili tegemea kimei ange teuliwa kwenye idara yoyote ya fedha, sad kaishia kwenda kuimbishwa goli la mama.

Kuna yule unguu sulay he was also good, angalau ali wakilisha vyema baada ya kupewa nafasi.

Kuhusu civil service, if you get a chance eliminate some of those black mf
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk&pp=ygUXQ2hhcmxlcyBLaW1laSBpbnRlcnZpZXc%3D

Tanzania ina watu wa aina hivyo wa kuendesha mashirika makubwa.

Kimei ni government product maana yake serikalini kuna appropriate succession planning binafsi hapo nimejiridhisha.

Nonetheless serikalini kuna shida, shirika lolote ambalo lipo under government majority control kwa katiba yetu ni shida kupata mafanikio (efficiently controlled)

Hawa watu wanaweza kugawa tender kishamba kwa sababu (kuna mamillion ya dollars ya kuvuna kwao kwenye hiyo mikataba).

Vinginevyo kwa interview niliyoiweka kuona thamani (educational) ya huo mchango na uwezo wa Kimei kwenye maswala ya banking (na wewe unahitaji abc za industry knowledge), but trust me it’s educational kama ni MBA student/business degree graduate regardless of your specialisation

Hiyo interview ni very educational not only in MBA course.

Kwenye podcast za kugawa elimu ya bure ambapo mkurugenzi anatoa elimu ya strategic planning bure hiyo ni mfano (innovation ya CRDB ni zaidi ya elimu ya banking za ulaya)

Sasa ni jikumu lako mwanafunzi ku-apply na theory zako za darasani.

Sad CCM ina mtu kama Kimei, halafu Dr Kitila ndio head wa kutengeneza ilani yao.

Bashe ndio mshauri wa kufungua bank ya kilimo (beyond me).

Tunahitaji heroes kama Gwajima, kwanza wa kupambana kupunguza madaraka ya raisi, mengine baadae. First things, first.

Na mimi pia kuna viongozi wa wastaafu wa usalama (wakubwa) wanataka nirudi wanitengeneze kuwa kiongozi wa baadae (kwa miaka 18 ) sasa wewe ona naongea utani.

Kimei ni kichwa sana ningekua mimi kimei ndo alitakiwa kua waziri naibu wake awe Bashe
 
Shida sio Elimu Ila shida utamaduni wetu wa kuendekeza wizi, ngono na pombe
 
Ikiwa Ana akili je ilikuaje akamkubalia Magufuli kufungua tawi la CRDB chato kijijini ambako hakuna wateja

Na hauoni aliitia bank yake hasara kubwa

MTU am aye hana misimamo je angepewa wizara unafikiri angefanyaje ???
 
Shida sio Elimu Ila shida utamaduni wetu wa kuendekeza wizi, ngono na pombe
Angalau Uganda wamejitahidi
IMG-20250601-WA0003.jpg
 
Chawa wote dunoani ni kutoka chama chetu
 
View attachment 3352177
➡️➡️➡️ Na hii trendi ya kuajiri wageni huko juu siyo kwenye makampuni ya simu tu. Kila mtu anajua kuwa kama unataka kuwa na serious business epuka kuweka Wabongo huko juu. Kuanzia mashule private yanayofanya vizuri, viwanda na kila aina ya makampuni huko juu utakuta sana wahindi na Wakenya. Wabongo shida wala siyo elimu bali ni upigaji, nepotism uzembe (ngono) na kutojali. Kama unataka biashara yako ikue epuka sana kuweka Wabongo huko juu. Period!

Na sasa ukiongezea na kansa hii mpya ya uchawa ndiyo kabisaaa!
Niliwahi kutana na mkurugenzi wa moja ya kampuni. Analalamika sana juu ya wabongo. Kuwa amepewa nafasj aendeshe na kusimamia sehemu tu ya biashara . Presentation zimenyooka. Njoo sasa kwenye performance. Analeta hasara.

Yupo anatafuta raia wa kugeni amkabidhi kampuni.

Kuna muda unaona kabisa changamoti ya ajira inaweza isiwe kubwa kama inavyotajwa.
 
Back
Top Bottom