Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Huoni hizo nafasi zinatolewa kwa zamu za kanda na kampeni?hapo vipi...πππ
1.Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU)- Dr Tulia Ackson- Tanzania.
2.Mkurugenzi Shirika la Afya duniani(WHO) Kanda ya Africa- Professor Janabi - Tanzania.
Eti kwa zamu na kampeniππBila Kiwango cha Elimu unapataje hizo nafasi za kimataifa....Huoni hizo nafasi zinatolewa kwa zamu za kanda na kampeni?
Uliza hao wamesoma lini na wapi halafu uje kuharisha hapa!Eti kwa zamu na kampeniππBila Kiwango cha Elimu unapataje hizo nafasi za kimataifa....
nili tegemea kimei ange teuliwa kwenye idara yoyote ya fedha, sad kaishia kwenda kuimbishwa goli la mama.
View: https://m.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk&pp=ygUXQ2hhcmxlcyBLaW1laSBpbnRlcnZpZXc%3D
Tanzania ina watu wa aina hivyo wa kuendesha mashirika makubwa.
Kimei ni government product maana yake serikalini kuna appropriate succession planning binafsi hapo nimejiridhisha.
Nonetheless serikalini kuna shida, shirika lolote ambalo lipo under government majority control kwa katiba yetu ni shida kupata mafanikio (efficiently controlled)
Hawa watu wanaweza kugawa tender kishamba kwa sababu (kuna mamillion ya dollars ya kuvuna kwao kwenye hiyo mikataba).
Vinginevyo kwa interview niliyoiweka kuona thamani (educational) ya huo mchango na uwezo wa Kimei kwenye maswala ya banking (na wewe unahitaji abc za industry knowledge), but trust me itβs educational kama ni MBA student/business degree graduate regardless of your specialisation
Hiyo interview ni very educational not only in MBA course.
Kwenye podcast za kugawa elimu ya bure ambapo mkurugenzi anatoa elimu ya strategic planning bure hiyo ni mfano (innovation ya CRDB ni zaidi ya elimu ya banking za ulaya)
Sasa ni jikumu lako mwanafunzi ku-apply na theory zako za darasani.
Sad CCM ina mtu kama Kimei, halafu Dr Kitila ndio head wa kutengeneza ilani yao.
Bashe ndio mshauri wa kufungua bank ya kilimo (beyond me).
Tunahitaji heroes kama Gwajima, kwanza wa kupambana kupunguza madaraka ya raisi, mengine baadae. First things, first.
Na mimi pia kuna viongozi wa wastaafu wa usalama (wakubwa) wanataka nirudi wanitengeneze kuwa kiongozi wa baadae (kwa miaka 18 ) sasa wewe ona naongea utani.
Dunia inawatambua na ukweli unaujua πππUliza hao wamesoma lini na wapi halafu uje kuharisha hapa!
Kimei ni kichwa sana ningekua mimi kimei ndo alitakiwa kua waziri naibu wake awe Bashe
View: https://m.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk&pp=ygUXQ2hhcmxlcyBLaW1laSBpbnRlcnZpZXc%3D
Tanzania ina watu wa aina hivyo wa kuendesha mashirika makubwa.
Kimei ni government product maana yake serikalini kuna appropriate succession planning binafsi hapo nimejiridhisha.
Nonetheless serikalini kuna shida, shirika lolote ambalo lipo under government majority control kwa katiba yetu ni shida kupata mafanikio (efficiently controlled)
Hawa watu wanaweza kugawa tender kishamba kwa sababu (kuna mamillion ya dollars ya kuvuna kwao kwenye hiyo mikataba).
Vinginevyo kwa interview niliyoiweka kuona thamani (educational) ya huo mchango na uwezo wa Kimei kwenye maswala ya banking (na wewe unahitaji abc za industry knowledge), but trust me itβs educational kama ni MBA student/business degree graduate regardless of your specialisation
Hiyo interview ni very educational not only in MBA course.
Kwenye podcast za kugawa elimu ya bure ambapo mkurugenzi anatoa elimu ya strategic planning bure hiyo ni mfano (innovation ya CRDB ni zaidi ya elimu ya banking za ulaya)
Sasa ni jikumu lako mwanafunzi ku-apply na theory zako za darasani.
Sad CCM ina mtu kama Kimei, halafu Dr Kitila ndio head wa kutengeneza ilani yao.
Bashe ndio mshauri wa kufungua bank ya kilimo (beyond me).
Tunahitaji heroes kama Gwajima, kwanza wa kupambana kupunguza madaraka ya raisi, mengine baadae. First things, first.
Na mimi pia kuna viongozi wa wastaafu wa usalama (wakubwa) wanataka nirudi wanitengeneze kuwa kiongozi wa baadae (kwa miaka 18 ) sasa wewe ona naongea utani.
Ikiwa Ana akili je ilikuaje akamkubalia Magufuli kufungua tawi la CRDB chato kijijini ambako hakuna watejaKimei ni kichwa sana ningekua mimi kimei ndo alitakiwa kua waziri naibu wake awe Bashe
Wanatambulika kweli, sasa jibu swali je wamesoma wapi?Dunia inawatambua na ukweli unaujua πππ
Naona dawa imeingia ππππhadiWanatambulika kweli, sasa jibu swali je wamesoma wapi?
Just imagine Tarimba wa Kinondoni amesoma UDSM akapewa Bachelor kwa mwaka mmoja na masters kwa mwaka mmoja!Wabongo WEZI sana na Undugunization mwingi.
Achana nae,nimeona yna ejuu na mtu mwenye ujinga mwingi,badala ya kujibu swali,anazungukazunguka jibu.Wanatambulika kweli, sasa jibu swali je wamesoma wapi?
Niliwahi kutana na mkurugenzi wa moja ya kampuni. Analalamika sana juu ya wabongo. Kuwa amepewa nafasj aendeshe na kusimamia sehemu tu ya biashara . Presentation zimenyooka. Njoo sasa kwenye performance. Analeta hasara.View attachment 3352177
β‘οΈβ‘οΈβ‘οΈ Na hii trendi ya kuajiri wageni huko juu siyo kwenye makampuni ya simu tu. Kila mtu anajua kuwa kama unataka kuwa na serious business epuka kuweka Wabongo huko juu. Kuanzia mashule private yanayofanya vizuri, viwanda na kila aina ya makampuni huko juu utakuta sana wahindi na Wakenya. Wabongo shida wala siyo elimu bali ni upigaji, nepotism uzembe (ngono) na kutojali. Kama unataka biashara yako ikue epuka sana kuweka Wabongo huko juu. Period!
Na sasa ukiongezea na kansa hii mpya ya uchawa ndiyo kabisaaa!