Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄Tuachieni yanga yetu bakini na Simba yenu na mkae mkijua ubingwa wa ligi kuu msimu huu ni wetu sisi wakimataifa chama kubwa Yanga sc.
Alisikika mlevi mmoja akisema
Bro naona unapiga panapo umaAcha Uwongo wako hapa na usidhani Watu wote hapa tunafanana Akili mbovu kama ulivyo Wewe na huyo Kocha wako / wenu Mwinyi Zahera na tambua ya kwamba Watu japo ni wana Simba SC ila huwa tunaifuatilia Yanga SC na mambo yake pengine hata kuliko Wewe Mwanayanga / Nyie Wanayanga.
Nenda katika Kurasa zote za Mitandao ya Yanga SC unayoijua Wewe utaona kuna Kauli na hadi Nukuu za huyo Kocha wenu ' Mpumbavu ' akisema kuwa Yanga SC itabeba Vikombe vyote kuanzia cha Ligi ( TPL ), cha FA ( ASFC ) na kile cha Sports Pesa. Na Kauli zote hizi za ' Majigambo ' kama ilivyo kawaida yake alizitoa baada ya Dirisha dogo tu Kuanza na aliwaaminisha hivyo wana Yanga SC na kwa ' Upopoma ' wenu mkamuamini.
Nenda katika Ukurasa wa Instagram wa Msemaji wenu Msaidizi Godliseni Chicharito nae alikuwa anaziweka hizo Kauli / Nukuu za Kocha wenu huyo ' Mpuuzi ' hivyo hivi unavyobisha na Kumtetea au Kujitetea nawe nakuona ni wale wale. Mwambieni huyo Kocha wenu apunguze Mdomo na Kelele bali afanye Kazi na amuinge Kocha Mwerevu, Makini na Fundi wa Ukweli Kocha wa Simba SC Patrrick Aussems.
Usipanic bro tumekuja wenye nyumba.tutalibeba ilo kombe tukichoka tutalipakata.miaka mingi tuu.mtoa uzi na wote walio ku support ni wapuuzi vilevile.. kama alivyo yule mzungu wenu.. sababu mnaonyesha chuki zenu personal kwa Zahera na Yanga nzima, huu ni mpira kila siku huwezi kua wewe tu, leo manchester united wako wapi na pesa zao,, kumbukeni kabla ya pesa za Mo mbwa nyie mlikua mmekaa miaka 5 bila ubingwa mpaka mkataka kwenda FIFA leo hii kuchuku ubingwa mara moja tu imekua tabu, unamsema Zahera kama nyie lengo lenu ni kuelimisha na si kumu attack basi mngeanza na uyo mzungu wenu hata kama yeye ndiye msemaji lakini he is always out of protocol
Kwa hiyo usajili wa Boban siyo usajili au unaongelea usajili gani.Yanga walifanya usajili dirisha dogo na wachezaji ni pamoja na mashine boban.Ukweli ni kwamba baada ya yanga kushindwa kufanya usajili kwenye dirisha dogo kocha aliweka wazi kuwa kuchukua ubingwa itakuwa sio rahisi tena
Ni kweli kabisa unachosema ila kwa mujibu wa kocha alimtaka na kipa wa bandari ya kenya na baadhi ya wachezaji nimewasahau lakini pia sidhani kama kuna cha kulaumu hii ndio maana ya ligi simba ni timu bora kwa sasa na uwekezaji wake hauna shaka kuchukua kombe si ajabu labda kutokuchukua ndio ingeleta mshitukoKwa hiyo usajili wa Boban siyo usajili au unaongelea usajili gani.Yanga walifanya usajili dirisha dogo na wachezaji ni pamoja na mashine boban.
Timu bora gani iliyoleta aibu, unaweza kunitajia timu yoyote uliyopata vipigo vitakatifu mfululizo kwenye ligi ya Africa kama mbeleko fc?Ni kweli kabisa unachosema ila kwa mujibu wa kocha alimtaka na kipa wa bandari ya kenya na baadhi ya wachezaji nimewasahau lakini pia sidhani kama kuna cha kulaumu hii ndio maana ya ligi simba ni timu bora kwa sasa na uwekezaji wake hauna shaka kuchukua kombe si ajabu labda kutokuchukua ndio ingeleta mshituko
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Nyingi sana zilipata vipigo vikali away, Constatine ya Algeria ilipigwa 8 - 0 na Mazembe, Al Ahly ya Misri ilikula 5 - 0 kwa Mazembe, Horoya ya Guinea ilipigwa 5 - 0 na Wydad Casablanca hata huko ulaya Barcelona kapigwa 4 - 0 na LiverpoolTimu bora gani iliyoleta aibu, unaweza kunitajia timu yoyote uliyopata vipigo vitakatifu mfululizo kwenye ligi ya Africa kama mbeleko fc?
Hakuna ni mbeleko fc.Timu bora gani iliyoleta aibu, unaweza kunitajia timu yoyote uliyopata vipigo vitakatifu mfululizo kwenye ligi ya Africa kama mbeleko fc?
Kila mara alipokuwa akihojiwa na Waandishi wa Habari mbalimbali alisema tena kwa Nyodo zote kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania ( TPL ) na kwamba hata Kombe la ASFC pia itabeba na kwamba hajaona Timu ya Kuizua Klabu yake. Ushahidi wa haya ' Majigambo ' yake upo wazi tu na nitashangaa kama Wewe huna au hujawahi Kumsikia.
Leo baada ya ' Kufurumushwa ' Mashindanoni kwa Kufungwa kwa aibu na Klabu ya Lipuli ya Mkoani Iringa Kocha wa Yanga SC ( ambaye Uzi huu ndiyo unamuhusu kwa 100% ) Mwinyi Zahera amejitetea kwa Kubadili haya maneno yake na hizo Kauli zake alizozitoa awali ambapo sasa amesema kuwa Malengo ya Yanga SC kwa mwaka huu hayakuwa Kuchukua Ubingwa wowote ule uwe wa Ligi au Kombe hili la FA isipokuwa Yeye kama Kocha na hata Klabu ya Yanga walikuwa na Malengo tu ya Kuhakikisha wanakuwa ndani ya Sita Bora katika Ligi.
Kama kuna Kocha ambaye nina uhakika ana matatizo makubwa ya Akili basi ni huyu Kocha wa Yanga SC na pia kama kuna Kocha ambaye anawachezea Akili Yanga SC huku akiwafanya atakavyo na hawawezi Kumfanya lolote kwakuwa ameshawashika pabaya ni Mwinyi Zahera. Nina uhakika mpaka Yanga SC wakija Kumshtukia basi atakuwa ' amewagharimu ' mno na watanikumbuka na kuyakumbuka haya maneno yangu na huu Uzi wangu.
Nawasilisha.
mikia buana........Kila mara alipokuwa akihojiwa na Waandishi wa Habari mbalimbali alisema tena kwa Nyodo zote kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania ( TPL ) na kwamba hata Kombe la ASFC pia itabeba na kwamba hajaona Timu ya Kuizua Klabu yake. Ushahidi wa haya ' Majigambo ' yake upo wazi tu na nitashangaa kama Wewe huna au hujawahi Kumsikia.
Leo baada ya ' Kufurumushwa ' Mashindanoni kwa Kufungwa kwa aibu na Klabu ya Lipuli ya Mkoani Iringa Kocha wa Yanga SC ( ambaye Uzi huu ndiyo unamuhusu kwa 100% ) Mwinyi Zahera amejitetea kwa Kubadili haya maneno yake na hizo Kauli zake alizozitoa awali ambapo sasa amesema kuwa Malengo ya Yanga SC kwa mwaka huu hayakuwa Kuchukua Ubingwa wowote ule uwe wa Ligi au Kombe hili la FA isipokuwa Yeye kama Kocha na hata Klabu ya Yanga walikuwa na Malengo tu ya Kuhakikisha wanakuwa ndani ya Sita Bora katika Ligi.
Kama kuna Kocha ambaye nina uhakika ana matatizo makubwa ya Akili basi ni huyu Kocha wa Yanga SC na pia kama kuna Kocha ambaye anawachezea Akili Yanga SC huku akiwafanya atakavyo na hawawezi Kumfanya lolote kwakuwa ameshawashika pabaya ni Mwinyi Zahera. Nina uhakika mpaka Yanga SC wakija Kumshtukia basi atakuwa ' amewagharimu ' mno na watanikumbuka na kuyakumbuka haya maneno yangu na huu Uzi wangu.
Nawasilisha.