Tunaposema huyu Kocha ana matatizo ya ' Akili ' na Klabu iliyomuajiri imelamba ' Garasa ' na itakuja Kujuta huko mbele msiwe mnabisha

Tunaposema huyu Kocha ana matatizo ya ' Akili ' na Klabu iliyomuajiri imelamba ' Garasa ' na itakuja Kujuta huko mbele msiwe mnabisha

mtoa uzi na wote walio ku support ni wapuuzi vilevile.. kama alivyo yule mzungu wenu.. sababu mnaonyesha chuki zenu personal kwa Zahera na Yanga nzima, huu ni mpira kila siku huwezi kua wewe tu, leo manchester united wako wapi na pesa zao,, kumbukeni kabla ya pesa za Mo mbwa nyie mlikua mmekaa miaka 5 bila ubingwa mpaka mkataka kwenda FIFA leo hii kuchuku ubingwa mara moja tu imekua tabu, unamsema Zahera kama nyie lengo lenu ni kuelimisha na si kumu attack basi mngeanza na uyo mzungu wenu hata kama yeye ndiye msemaji lakini he is always out of protocol
 
Walipopigwa 1
FB_IMG_1557164266894.jpeg
 
Kwa hali ilivyo Yanga mi naona tumejitahidi sana! Tumekuwa na kipindi kigumu mno! Wachezaji wamejitoa kadri ya uwezo wao! Hata hao mikia wamesubiri karibu misimu 5 kuwa hivi walivyo! Tumepata viongozi wapya ni wakati sasa wakujenga timu yetu! Hatuwezi kushinda kila siku, nyakati ngumu huja na kupita! Mungu ibariki Yanga yetu
 
Mmejitahidi sana mtani... Mlikuwa mkiambiwa hamna timu pale ni upepo tu mlikuwa mnakataa , ila leo mmekubali.
Sio mbaya mmekaza sana.. Wekeni nguvu kwenye uwekezaji na msajili vzr.
 
Hivi nyie hamkumsikia DC Jerry Muro alipomzungumzia huyu Mkongo!
Alisema hamna Kocha hapo huyo ni muhamasishaji...!
Ngoja wampe 1.5b Anazotaka afanye usajili.. ni kocha mzuri anaependa jitihada kwa kila player .
 
Ngoja wampe 1.5b Anazotaka afanye usajili.. ni kocha mzuri anaependa jitihada kwa kila player .
Ili alete akina Kindoki wengine wafungue bendi. Na dirisha ndogo alete akina Boban, huyo Mkongo mbona watamfahamu
 
Ili alete akina Kindoki wengine wafungue bendi. Na dirisha ndogo alete akina Boban, huyo Mkongo mbona watamfahamu
Kindoki
Kabwili
Kakolanya
Kamusoko
HII TIMU NI 'K' KWELI KWELI
 
Back
Top Bottom