Tunaposema huyu Kocha ana matatizo ya ' Akili ' na Klabu iliyomuajiri imelamba ' Garasa ' na itakuja Kujuta huko mbele msiwe mnabisha

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakumbuka walipofungwa kwenye ligi na lipuli alisema kuwa wapinzani walibahatisha maana walikuwa na shot on target moja tu. Na hiyo hiyo ndio ilizaa goli.

Sasa leo sijui kajibuje tena.
 
Bro naona unapiga panapo uma
 
Usipanic bro tumekuja wenye nyumba.tutalibeba ilo kombe tukichoka tutalipakata.miaka mingi tuu.
Mtulie dawa ndo inaingia
 
Ukweli ni kwamba baada ya yanga kushindwa kufanya usajili kwenye dirisha dogo kocha aliweka wazi kuwa kuchukua ubingwa itakuwa sio rahisi tena
Kwa hiyo usajili wa Boban siyo usajili au unaongelea usajili gani.Yanga walifanya usajili dirisha dogo na wachezaji ni pamoja na mashine boban.
 
Kwa hiyo usajili wa Boban siyo usajili au unaongelea usajili gani.Yanga walifanya usajili dirisha dogo na wachezaji ni pamoja na mashine boban.
Ni kweli kabisa unachosema ila kwa mujibu wa kocha alimtaka na kipa wa bandari ya kenya na baadhi ya wachezaji nimewasahau lakini pia sidhani kama kuna cha kulaumu hii ndio maana ya ligi simba ni timu bora kwa sasa na uwekezaji wake hauna shaka kuchukua kombe si ajabu labda kutokuchukua ndio ingeleta mshituko

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Timu bora gani iliyoleta aibu, unaweza kunitajia timu yoyote uliyopata vipigo vitakatifu mfululizo kwenye ligi ya Africa kama mbeleko fc?
 
Timu bora gani iliyoleta aibu, unaweza kunitajia timu yoyote uliyopata vipigo vitakatifu mfululizo kwenye ligi ya Africa kama mbeleko fc?
Nyingi sana zilipata vipigo vikali away, Constatine ya Algeria ilipigwa 8 - 0 na Mazembe, Al Ahly ya Misri ilikula 5 - 0 kwa Mazembe, Horoya ya Guinea ilipigwa 5 - 0 na Wydad Casablanca hata huko ulaya Barcelona kapigwa 4 - 0 na Liverpool
 
Hata Mbeligiji wa Simba alisema atachukua kombe la
 
mikia buana........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…