Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa,kwenye QURAN TUKUFU yenyewe kuna sura inazungumzia wayahudi, na kila siku nasema wasome "suratul ban Israil""" lakini nakwambia hakuna msikiti hata mmoja dunia nzima wapo tayari kusoma sura hito!!"abadan" na ndo manake,,allah akashusha "SURATUL MUNAFIQUN"suratul munafiqun imeshushwa kwa ajili ya unafiki kama huu!!!!,,,,takuta wanaweka mashindano ya kuhifadhi quran,,,na wanafuzu wanapewa mamilioni ya pesa!!....lakini hakuna ata mmoja anaruhusiwa kusoma au kukariri suratul ban israil!!...WANAPINGANA MPKA NA KITABU CHAO!!,,,,QURAN.
Allah alichagua manabii wengi kutokea ndani ya wayahudi akiwemo Musa licha ya wayahudi kuwaua mara kadhaa ila Allah alipenda wawe wayahudi
Allah aliwaokoa utumwani wakiwa misri, Farao alikuwa na kiburi lakini Allah alimpa mitihani migumu mpaka kulazimika awaachie
Allah alifanya njia baharini kuwe na nchi kavu waweze kuvuka
Hata baada ya Allah kuwaoyesha ushahidi kwamba yeye ndie Mungu wao, wapo walioabudu ndama lakini Allah aliwasamehe
Kwa miaka 40 Allah aliwakinga na joto kali jangwani kwa kuweka mawingu wapate kivuli
Allah aliweza kuwapa maji wakiwa jangwani kwa kugeuza mawe yawe maji
akili za ziada na utajiri -
- Marekani nchi yenye watu wa mataifa mbalimbali, Wayahudi ndio wanaongoza kwa kuwa na mabilionea wengi licha ya kuwa asilimia 2 tu ya wamarekani
- Wanaongozea kwenye teknolojia
- Israel ni nchi ndogo ila imeaminiwa na Makampuni maarufu ya teknolojia takribani 350 kuweka ofisi zao Israel maalum kwajili ya ubunifu na uendelezaji wa Teknolojia. mifano ni Google, Microsoft, Apple, Intel, Ibm, Nvidia, Amazon, Oracle, n.k.
- Israel ni nchi ndogo inayoongoza kwa mrundikano wa tech startups / vituo vya kubuni teknolojia, hizi start up huwa zinawaingizia pesa kibao, start up moja inauzwa mpaka trilioni 10.
- Himaya ya Romania ilipoivamia Israel na kuwpeleka wayahudi utumwani ulaya, huko waliweza kufanikiwa na kuw matajiri wakubwa licha ya kunyimwa ardhi.
- Noble Prizes nyingi zaidi ni za wayahudi
Hata hilo neno la Palestine ni wagiriki walitunga wakiwa wameivamia Israel