Chapati Tatu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2024
- 338
- 740
Hata km ni enzi za Mwalimu WEKA PICHAWee jamaa nje ya wakati….na mambo yanaendelea nchini kama tukio hilo huji liona angalia raisi alipokuwa zanzibar juzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata km ni enzi za Mwalimu WEKA PICHAWee jamaa nje ya wakati….na mambo yanaendelea nchini kama tukio hilo huji liona angalia raisi alipokuwa zanzibar juzi
🤣🤣🤣Sijui utaacha lini ukorofiHalafu mbona Siku hizi wananenepeana sana?
Lakini kwa Chapati Tatu kutojua kuhusu tukio hilo siyo kosa, na siyo kosa kumtaka mleta thread akamilishe habari kwa kuweka picha ya tukio analolizungumzia ili naye afahamu kikamilifu na aweze kuchangia.Wee jamaa nje ya wakati….na mambo yanaendelea nchini kama tukio hilo huji liona angalia raisi alipokuwa zanzibar juzi
[emoji1787]Ulijifunza chochote pale Trump aliposhambuliwa? Uliwaona walinzi wake?
[emoji1787][emoji1787]Sidhani kabisa kama jinsia inahusika hapo.
Na ukweli ni kwamba Rais Samia halindwi na wanawake tu.
Huyo mwanamke ambaye huwa yupo na Samia siku zote na sehemu zote, kwa kutumia mfano wa Marekani, ndo special agent in charge/ head wa presidential protection ambaye muda wote anapaswa kuwa karibu na Rais.
Kwa Samia, kwa vile yeye ni mwanamke, nadhani waliona itakuwa ni vyema kwa huyo mlinzi [ambaye ana maintain close proximity na rais] naye awe mwanamke pia.
Lakini hiyo haina maana kuwa wale walinzi wa kiume wako mbali. Huwa wapo sana tu karibu na Rais.
Ila, kwa anayetaka kujua kama hao wa kiume wapo au la, just fcuk around and you’ll find out [emoji3].
[emoji7][emoji7]Wamekusoma ila uzembe wa mtu hauwezi kuhusishwa na jinsia yake kama unavyotaka kuaminisha watu hapa.
[emoji1787][emoji1787]Huna akili upuuzwe na kila mtu.
GentaKuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda.
Najua wale wa PSU mpo sana hapa JamiiForums na mnanisoma mno GENTAMYCINE hivyo niseme tu nimeshangaa mno kwani kama huyo Dada Mlinzi angekuwa ameiva hasa Kiulinzi kamwe asingemruhusu yule Mtu amtangulie mbele yake na awe karibu vile na Mheshimiwa Rais kwani ni HATARI mno.
Haya nyie Watu wa PSU mlioko hapa JamiiForums hivi kwa mfano yule Mtu aliyeondolewa na huyo Mlinzi wa Kike angekuwa na Kisu au hata Dhamira mbaya na Rais kwa ule ukaribu aliokuwa nao asingeweza labda kutufanya Watanzania tuwe tena katika Siku 21 za Maombolezo na Bendera kupepea nusu Mlingoti?
Jamani Mwanamke ni Mwanamke tu acheni kutaka Kulazimisha kwakuwa Rais ni Mwanamke basi hata na hao Walinzi wake kutoka PSU basi na Wao wawe ni Wanawake. Kama anawapenda sana awaweke Nyumbani Kwake Kizimkazi wakaribishe Wageni ila alindwe na Walinzi wa Kiume wanaoweza Kazi.
Halafu mbona Siku hizi wananenepeana sana? Hivi kwa mfano likitokea la kutokea wataweza Kutekeleza Majukumu?
Mama anachekelea Bombo Clat😤Kama huyu alifikaje hapa😁
View attachment 3080192
Huna unachokijua wewe ni mtu wa blaa blaa blaa tu wewe bora liendeKuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda.
Najua wale wa PSU mpo sana hapa JamiiForums na mnanisoma mno GENTAMYCINE hivyo niseme tu nimeshangaa mno kwani kama huyo Dada Mlinzi angekuwa ameiva hasa Kiulinzi kamwe asingemruhusu yule Mtu amtangulie mbele yake na awe karibu vile na Mheshimiwa Rais kwani ni HATARI mno.
Haya nyie Watu wa PSU mlioko hapa JamiiForums hivi kwa mfano yule Mtu aliyeondolewa na huyo Mlinzi wa Kike angekuwa na Kisu au hata Dhamira mbaya na Rais kwa ule ukaribu aliokuwa nao asingeweza labda kutufanya Watanzania tuwe tena katika Siku 21 za Maombolezo na Bendera kupepea nusu Mlingoti?
Jamani Mwanamke ni Mwanamke tu acheni kutaka Kulazimisha kwakuwa Rais ni Mwanamke basi hata na hao Walinzi wake kutoka PSU basi na Wao wawe ni Wanawake. Kama anawapenda sana awaweke Nyumbani Kwake Kizimkazi wakaribishe Wageni ila alindwe na Walinzi wa Kiume wanaoweza Kazi.
Halafu mbona Siku hizi wananenepeana sana? Hivi kwa mfano likitokea la kutokea wataweza Kutekeleza Majukumu?
Kwahiyo hata 'unavyowekwa' pia sijui au?Huna unachokijua wewe ni mtu wa blaa blaa blaa tu wewe bora liende
Wewe ulivyo mke wa watu hapa mjini unafikiri hatujui?Kwahiyo hata 'unavyowekwa' pia sijui au?