Tunaposema Rais asilindwe na hao PSU wa Kike anaowapenda na kuwang'ang'ania kwa Mapungufu yao kadha wa kadha mnasema tunawachukia Wanawake

Nchi yetu janja janja tu hamna kitu kwenye maeneo mengi sana , umeona juzi watu wamepasua mtu Moyo kwa kutumia google wakamuua pale JKCI sasa unaona wanavyohangaika kujisafisha kwenye media, uliona wapi mtu anajiita super specialist anakaa tandale na anakula gongo na maviroba kutwaaaaaa, kimsingi Tanzania hatujawahi kuwa serious kwenye lolote sembuse hao mashungi wanaomzunguka hangaya, mara wanaume wanavalishwa madera mara sijui wanapora kapu la sadaka yaani sanaa unlimited.
 
Wee jamaa nje ya wakati….na mambo yanaendelea nchini kama tukio hilo huji liona angalia raisi alipokuwa zanzibar juzi
Lakini kwa Chapati Tatu kutojua kuhusu tukio hilo siyo kosa, na siyo kosa kumtaka mleta thread akamilishe habari kwa kuweka picha ya tukio analolizungumzia ili naye afahamu kikamilifu na aweze kuchangia.

Ova
 
Sidhani kabisa kama jinsia inahusika hapo.

Na ukweli ni kwamba Rais Samia halindwi na wanawake tu.

Huyo mwanamke ambaye huwa yupo na Samia siku zote na sehemu zote, kwa kutumia mfano wa Marekani, ndo special agent in charge/ head wa presidential protection ambaye muda wote anapaswa kuwa karibu na Rais.

Kwa Samia, kwa vile yeye ni mwanamke, nadhani waliona itakuwa ni vyema kwa huyo mlinzi [ambaye ana maintain close proximity na rais] naye awe mwanamke pia.

Lakini hiyo haina maana kuwa wale walinzi wa kiume wako mbali. Huwa wapo sana tu karibu na Rais.

Ila, kwa anayetaka kujua kama hao wa kiume wapo au la, just fcuk around and you’ll find out [emoji3].
[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda.

Najua wale wa PSU mpo sana hapa JamiiForums na mnanisoma mno GENTAMYCINE hivyo niseme tu nimeshangaa mno kwani kama huyo Dada Mlinzi angekuwa ameiva hasa Kiulinzi kamwe asingemruhusu yule Mtu amtangulie mbele yake na awe karibu vile na Mheshimiwa Rais kwani ni HATARI mno.

Haya nyie Watu wa PSU mlioko hapa JamiiForums hivi kwa mfano yule Mtu aliyeondolewa na huyo Mlinzi wa Kike angekuwa na Kisu au hata Dhamira mbaya na Rais kwa ule ukaribu aliokuwa nao asingeweza labda kutufanya Watanzania tuwe tena katika Siku 21 za Maombolezo na Bendera kupepea nusu Mlingoti?

Jamani Mwanamke ni Mwanamke tu acheni kutaka Kulazimisha kwakuwa Rais ni Mwanamke basi hata na hao Walinzi wake kutoka PSU basi na Wao wawe ni Wanawake. Kama anawapenda sana awaweke Nyumbani Kwake Kizimkazi wakaribishe Wageni ila alindwe na Walinzi wa Kiume wanaoweza Kazi.

Halafu mbona Siku hizi wananenepeana sana? Hivi kwa mfano likitokea la kutokea wataweza Kutekeleza Majukumu?
Genta
Nimeona hawa walinzi (PSU) wamenenepeana sana.

Hawana mazoezi ya kujiweka sawa au ndo wanaongeza miili wafanane na boss?

Mafuta yamezidi
 
Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda.

Najua wale wa PSU mpo sana hapa JamiiForums na mnanisoma mno GENTAMYCINE hivyo niseme tu nimeshangaa mno kwani kama huyo Dada Mlinzi angekuwa ameiva hasa Kiulinzi kamwe asingemruhusu yule Mtu amtangulie mbele yake na awe karibu vile na Mheshimiwa Rais kwani ni HATARI mno.

Haya nyie Watu wa PSU mlioko hapa JamiiForums hivi kwa mfano yule Mtu aliyeondolewa na huyo Mlinzi wa Kike angekuwa na Kisu au hata Dhamira mbaya na Rais kwa ule ukaribu aliokuwa nao asingeweza labda kutufanya Watanzania tuwe tena katika Siku 21 za Maombolezo na Bendera kupepea nusu Mlingoti?

Jamani Mwanamke ni Mwanamke tu acheni kutaka Kulazimisha kwakuwa Rais ni Mwanamke basi hata na hao Walinzi wake kutoka PSU basi na Wao wawe ni Wanawake. Kama anawapenda sana awaweke Nyumbani Kwake Kizimkazi wakaribishe Wageni ila alindwe na Walinzi wa Kiume wanaoweza Kazi.

Halafu mbona Siku hizi wananenepeana sana? Hivi kwa mfano likitokea la kutokea wataweza Kutekeleza Majukumu?
Huna unachokijua wewe ni mtu wa blaa blaa blaa tu wewe bora liende
 
Back
Top Bottom