Tunaposema Rais asilindwe na hao PSU wa Kike anaowapenda na kuwang'ang'ania kwa Mapungufu yao kadha wa kadha mnasema tunawachukia Wanawake

Hao wakina Vero na wenzie wako hapo kama ceremonial tu,ila kuna walinzi wa kiume wengi tu wanaomzunguka huyo bibi Samia.
 
Nchi yetu janja janja tu hamna kitu kwenye maeneo mengi sana , umeona juzi watu wamepasua mtu Moyo kwa kutumia google wakamuua pale JKCI sasa unaona wanavyohangaika kujisafisha kwenye media, uliona wapi mtu anajiita super specialist anakaa tandale na anakula gongo na maviroba kutwaaaaaa, kimsingi Tanzania hatujawahi kuwa serious kwenye lolote sembuse hao mashungi wanaomzunguka hangaya, mara wanaume wanavalishwa madera mara sijui wanapora kapu la sadaka yaani sanaa unlimited.
 
Wee jamaa nje ya wakati….na mambo yanaendelea nchini kama tukio hilo huji liona angalia raisi alipokuwa zanzibar juzi
Lakini kwa Chapati Tatu kutojua kuhusu tukio hilo siyo kosa, na siyo kosa kumtaka mleta thread akamilishe habari kwa kuweka picha ya tukio analolizungumzia ili naye afahamu kikamilifu na aweze kuchangia.

Ova
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Genta
Nimeona hawa walinzi (PSU) wamenenepeana sana.

Hawana mazoezi ya kujiweka sawa au ndo wanaongeza miili wafanane na boss?

Mafuta yamezidi
 
Huna unachokijua wewe ni mtu wa blaa blaa blaa tu wewe bora liende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…