Ukubwa wa hii klabu unapimwa na idadi ya wafuatiliaji ndani ya nchi.
Haijalishi klabu iko kwenye hali gani ya kiuchumi, hii nafasi maara zote imekuwa ikitawaliwa na maabingwa mata zote wa ligi kuu Tanzania.
Msimu wa 4 mfululizo hatuna mpinzani.
Sio kwammba ni bahati mbaya, la hasha. Bali ni ukubwa Maalumu.
View attachment 2313354