Tunaposema Yanga ni LIDUDE likubwa hii ndio tafsiri yake

Tunaposema Yanga ni LIDUDE likubwa hii ndio tafsiri yake

Ukubwa wa hii klabu unapimwa na idadi ya wafuatiliaji ndani ya nchi.

Haijalishi klabu iko kwenye hali gani ya kiuchumi, hii nafasi maara zote imekuwa ikitawaliwa na maabingwa mata zote wa ligi kuu Tanzania.

Msimu wa 4 mfululizo hatuna mpinzani.

Sio kwammba ni bahati mbaya, la hasha. Bali ni ukubwa Maalumu.View attachment 2313354
Watu wengi wenyewe asilimia kubwa ni wapumbavu na watu wa ovyo ovyo

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Azam hawawezi kuzidiwa gate collection na hao wengine maana ikikutana na Simba au Yanga mashabiki ni wengi zaidi .

Kwa vile hii thread haijaletwa na Sunday Manara au Kikwete basi ni upumbavu mtu
 
Back
Top Bottom