SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Watu wengi wenyewe asilimia kubwa ni wapumbavu na watu wa ovyo ovyoUkubwa wa hii klabu unapimwa na idadi ya wafuatiliaji ndani ya nchi.
Haijalishi klabu iko kwenye hali gani ya kiuchumi, hii nafasi maara zote imekuwa ikitawaliwa na maabingwa mata zote wa ligi kuu Tanzania.
Msimu wa 4 mfululizo hatuna mpinzani.
Sio kwammba ni bahati mbaya, la hasha. Bali ni ukubwa Maalumu.View attachment 2313354
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app