Tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe

Wasouth Africa wanajionaga wao ni zaidi ya waafrika. Wanadharau sana waafrika wenzao na wanajiona wao si part ya africa so watoe katika hesabu za uafrika.
 
Nyerere alitaifisha mali zao,ikiwemo viwanda,mashamba,mabenki,shule,hospitali,majumba,bima.Akawagawia watu weusi kuendesha shughuli hizo LAKINI hata kukarabati nyumba walishindwa.Baada ya Nyerere kungatuka,kama kawaida watanzania weusi wakarudi kuwalamba miguu wahindi tukawareshea mali hizo na bonus nasisi tukarudia kazi ya korokoroni.
Yaani inasikitisha lakini ndio ukweli sio elimu itayotukombomoa bali utashi .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] True mkuu
 
Hofu yako ni yule mwingine anaeminiwa anajua vifungu vya sheria this is very wrong and pathetic,

kuna mambo ya msingi sana alitetea sio rahisi kuyatambua wewe na mambo yako ya kulialia ungeweza ubakaa nyuma ya keyboard unalialia!!!??

mwanaume unatokwa na machozi sijaona hoja hapo ta kukutoa machozi, sikiliza bwana mdogo huwezi kumjaji mtu kabla hujampatia majaribio lissu pia angekua presda angefanya yale kwenye ilani na sio mambo yake binafsi, angeleta maajabu pia vile vile labda nikukumbushe mengi anayofanya wa chato ni maazimio kutoka vyama vya upinzani baada ya kupiga kelele kwa muda mrefu viongozi waliopita waliyapuuzia, tafuta ilani ya chadema ilisemaja 2015 usije na hoja za majonzi hapa
 
Safi sana kiongozi. Wasouth hawabebeki hata kwa mbeleko ya aina gani.
Wana matatizo makubwa sana,wakati mwingine unakuwa na wasiwasi wakiondoka wazungu kama SA inaweza inasimama yenyewe.
 
True
 
Black skin resembles black brain sio?
Sio sahihi lakini matukio mengi yanatupeleka huko.
Nigeria na wingi wa pesa ya mafuta lakini hali ya nchi hiyo haifanani kabisa na nchi kama Saudia,Kuwaiti au Malaysia.
Watu weusi wa zamani sana kama Wamisri wa falao, na Mansa Musa,Malika Sheba wa Ethopia,na Chief Mkwawa wa Kalenga Iringa Tanganyika ni tofauti na Waafrika wa sasa.
 
Kabisa
 
Hao ni akina Lissu na Zitto wanapiga porojo halafu utendaji zero
 
Hakika Mkuu si tunawaona kila siku wanavyobwata
 
Hakika Mkuu si tunawaona kila siku wanavyobwata
Wewe umefanya nini, mchango wako kwa jamii, wakina lissu na, zito wameokoa sekta nyingi kwa kubwata kwao huko huko sekta ya madini zitto huwezi masahau, sekta ya sheria ndiyo usiseme kwa lissu mchakato wa katiba na utambuzi wa haki,

Je wewe pimbi umefanya nini kwa taifa lako??? Tofauti yako na wao ni unaufyata mkia nyuma ya keyboard yani unabwata nyuma ya keyboard kama kama kamb..a koko
 
Mkuu si wanaonekana tu hata kwenye nafasi zao za ubunge, nani aliyesema tutashtakiwa na MIGA?

Mbona tulifanya maamuzi na hawakutufanya chochote ina maana Lissu angekuwa madarakani angewaacha kwa kuwa tutashtakiwa MIGA

Na hii inaonesha jinsi gani tunaowaogopa wazungu wakati tukiwakazia wanapwaya
je tuliwahi kumpa nafasi?kwann tunawabeza wapinzani kila mara hata nafasi hatuwapi??mbona chama tawala ni mafisadi na majizi lakini tunayahamisha wizara tu??
 
Wewe ni kiazi tena kiazi kilichoungua

Unasema Mimi nimefanya nini kwa kunilinganisha na akina Zitto hahahahah! Si ni wajibu wao kufanya hayo kama viongozi.

Mimi nimefanya mengi kwa level yangu na hata zaidi ya level yangu ikiwemo ustawi wa familia yangu na wanao nizunguka

Kiazi kabisa
 

Tatizo lako ni Lissu, huku ukimsifia Magufuli ndio ukatoa maelezo marefu vile post namba moja! Mbona hapa ni mambo ya mahaba niue?
 
Utendaji wa wizara ya mambo ya nje hauonekani kama barabara ,kinachoonekana ni uhusiano mzuri na nchi zingine kama awamu iliyopita si kama sasa
Aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje na mwenzie alikuwa waziri wa ujenzi. Wakati mmoja alipendwa na kusifiwa kwa ujenzi wa barabara na madaraja huyu mwingine twambie alisifiwa na kupendwa kwa kipi
 
Tatizo lako ni Lissu, huku ukimsifia Magufuli ndio ukatoa maelezo marefu vile post namba moja! Mbona hapa ni mambo ya mahaba niue?
Hilo ni jiwe la kurusha gizani lazima kama kuna mtu atalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…