Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,465
Mbona umeongelea katiba tu, hujaongelea mikutano ya kisiasa?
Unaelewa hii ni haki ya kikatiba?
Unaelewa rais kuisimamisha hii mikutano ni kuvunja katiba?
Unaelewa rais kavunja katiba iliyopo?
Unaekewa hata ikiletwa mpya hana sababu ya kuifuata?
Kazi hata guluguja anafanya.Mikutano ya kisiasa ya nini kamanda?chapa kazi
Uko sahihiRais Samia amezungumza juu ya hatima ya Katiba. Rais akaomba apewe muda 'asimamishe nchi' kwanza kabla ya kuingia kwenye masuala ya Katiba. Jibu la Rais Samia limewakera baadhi ya watu.
Mijadala kwenye mitandao ya kijamii na vijiweni imekuwa mingi. Wanalalama kwanini hataki kuleta Katiba mpya sasa! Wanasahau au wanapuuza ukweli kwamba Katiba si suala la kuamka na kutekeleza. Ombi langu, kuongoza nchi si kuongoza kaya.
Kuna mambo magumu yanayohitaji subira. Kwa kuwa tumeshangilia mengi mazuri ya Mama aliyofanya ndani ya Siku 100; basi tuwe wapole anapotenda tunayodhani hayatufurahishi. Tumhukumu kwa haki kwa sababu ndiyo kwanza ana siku 100 madarakani.
Watangulizi wake kama hawakufanikiwa kubadili Katiba kuanzia mwaka 1985 hadi 2021. Ni kwa sababu hiyo nashawishika kusema 'tumpe muda'.
Wimbi la tatu la corona ..mikutano yann saiv hao wanasiasa watatuambia nn saiv kwenye mkutano zaid ya kuleta lawama tuhKazi hata guluguja anafanya.
Wewe mtu unatakiwa kwenda kwa fikra.
Rais hakusema anasimamisha mikutano mpaka wimbi la Corona lipite, angesema hivyo ningem support.Wimbi la tatu la corona ..mikutano yann saiv hao wanasiasa watatuambia nn saiv kwenye mkutano zaid ya kuleta lawama tuh
Wimbi la tatu la corona ..mikutano yann saiv hao wanasiasa watatuambia nn saiv kwenye mkutano zaid ya kuleta lawama tuh
Huyu naye kavuta bahasha jana IkuluMbona umeongelea katiba tu, hujaongelea mikutano ya kisiasa?
Unaelewa hii ni haki ya kikatiba?
Unaelewa rais kuisimamisha hii mikutano ni kuvunja katiba?
Unaelewa rais kavunja katiba iliyopo?
Unaekewa hata ikiletwa mpya hana sababu ya kuifuata?
Hawa wengine hashuo tupu, hata bahasha hawapati.Huyu naye kavuta bahasha jana Ikulu
Aibu kubwa sn kuweka njaa kichwani badala ya tumboniHawa wengine hashuo tupu, hata bahasha hawapati.