Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

Hahahaha
 
Unataka tukuletee mikataba humu ufe Kwa pressure!!!...Lini ulisikia Tanesco wametangaza kulipa Madeni yake!!!..Uliwahi kumsikia hata JPM akisema kulipa Madeni ya shirika hili!!..Unajua Tanesco bado ina nunua umeme mwingi kuliko linanavyo zalisha!!!
 
K
Kwani hao akina IPTl na AgreCo,SongaS,si ni private sector!je unauakika hupi kuwa mikataba itakayoingiwa itakuwa na manufaa na afya kwa Taifa?hawa akina Makamba sindio walikuwa hawamu ya 4 ya Kikwete ilioongoza kualibu tanesco kwa mikataba mibovu
 
Ndio maana ametuletea madege yana tupa pressure!!
 
Unataka tukuletee mikataba humu ufe Kwa pressure!!!...Lini ulisikia Tanesco wametangaza kulipa Madeni yake!!!..Uliwahi kumsikia hata JPM akisema kulipa Madeni ya shirika hili!!..Unajua Tanesco bado ina nunua umeme mwingi kuliko linanavyo zalisha!!!
Kwani walikuwa hawalipwi? mbona hapo Kabla ya kuingia awamu ya 5 tulisikia tanesco ilikuwa ikilipa billion 700 kwaajili ya kununua umeme kwenye Makampuni hayo, ambayo mwisho wa siku mikataba ilivyoisha hawakupewa mikataba mipya, mbona Mpaka Magufuri anaondoka utukusikia upuuzi huu wa tanesco kudaiwa?au mlisubili afe ndio muanze kudai?
 
Hadi sasa Tanesco ina daiwa!!..Mimi najua!!.. Serikali ina jua!!
 
Kuna madeni mengi na bado ina endelea kukopa!!..Unajua Nani ana fanya services za mitambo?!..Je Magari Yao?;!!... Services za line na stations?

Huo Umeme nao!!!..kuna mambo mengi hamjui lakini mnabisha tu!!!..Tuna nunua Umeme,Tuna kodisha Magari,Tuna leta watu kutoka nnje kufanya services za mitambo na kutengeneza!!..Hivi bado twendelee kupigwa tu
 
Chochote kilichobinafsishwa Kwa ufasaha kinafanya vizuri sana!!!...NBC,NMB,CRDB unajua kwanini umeme unaleta shida kila siku?.. Shirika hili la Tanesco halina mshindani ndio maana hata ufanisi ni sifuri...
Hivi kuwa na Mshindani Ndio kunaleta ufanisi?? Mmeanza siasa ili mpige Hela zetu..safari Hii mambo ya utapeli tapeli Ooh Downs..Eehh Richmond ooh Sijui mitambo gani imepandia wapi Inashukia Skanska HATUTAKUBALI...Mkileta sanaa ya kupiga ma deal Tanesco hapo mjue hatukubali Ng'oo..

TANESCO haifanyi kwasababu ya wizi tu wala hakuna kingine..Kila Mkubwa anataka agawe yeye Nguzo...asupply kila kitu mana pale pana hela......acheni kutuona sisi mazuzu.
 
Huu ni Upigaji Hamna Kingine...Na Hizi deal Magufuli alikataa ujinga ujinga huu wote na ikawezekana hata kama alikua na mapungufu yake...

Lakini wakina Seth walikua wanajichotea mabilioni Kijinga jinga tu..Nyie msituone sisi malofa...Acheni huo wizi wa wazi...
 
Tanesco tupewe Sisi taasisi binafsi tuilekebishe!!
 
Magufuli alikua ana Kula Mwenyewe!!.. Tunataka tule wote na ufanisi uwepo!!!..Sekta binafsi ipewe Tanesco!!
 
Sawa. Umeeleza vzr lkn hujasema tatizo ni nini?
 
Wakati Magufuli anaonyesha kiburi cha madaraka kwa kuhujumu upinzani mlikuwa mnachekelea kuwa ccm imeimarika.

Leo wamebaki CCM wenyewe na hawataki kukosolewa, matokeo yake chain ya wapigaji inaanza kurudi ndio mnalialia...
Kaka kwani ukisema Magufuli alidhibiti haya utapungukiwa nn? Kila kitu ulichoandika ni sawa kabisa. Shida yako ipo kwenye kukubali kwamba magufuli alifanya kazi ya ziada kwenye nchi hii. TANESCO ilikua imetulia kabisa kipindi cha JPM na shida ya mgao wa umeme tuliisahau. Why now?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…