mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Sasa kama ni trillions, tanesco wanaouweza wa kulipa madeni, sababu wanaoweza wa kukusanya trillion mbili kwa mwezi,Je mbona hatujawai kuona bodi ya tanesco au mkurugenzi kutokea adharani kusema tanesco inalemewa na madeni kwa miaka 5 iliyopita?Trillions of Tsh
FooSekta binafsi ndio suluhu ya matatizo yote ya Umeme!!
Wewe nadhani huko ulipo hakuna vyanzo vingi vya habari!!!..Ndio Mtanzania wa kwanza Una kataa Tanesco haidaiwi!..Wewe inaweza kuwa hata hufwatilii Bunge yamkini hata hujui kwamba ukinunua mafuta ya taa unalipia madeni ya Tanesco Kwa ulagai wa REASasa kama ni trillions, tanesco wanaouweza wa kulipa madeni, sababu wanaoweza wa kukusanya trillion mbili kwa mwezi,Je mbona hatujawai kuona bodi ya tanesco au mkurugenzi kutokea adharani kusema tanesco inalemewa na madeni kwa miaka 5 iliyopita? Mafisadi wameisha jipanga kufyonza asali, maana wameisha ona tanesco kuna mshiko wa kutosha, ndio maana wameanza kurusha mawe giza waone ninini kinatokea.Mkurugenzi wa tanesco ajiaande kutolewa, tiyari Karemani kaisha tupwa nje.
Hongereni sana aiseeHuku nilipo umeme upo hadi Una mwagika!!..
Hata kama aliwapa hatujawai kusikia habari za madeni na mikataba mibovu ya kufirisi shirika,hao marafiki wamesambaza umeme Tanzania mzima tena kwa garama nafuu,umeme akukatika wala mabwawa maji hayakupungua kama tulivyokuwa tukiambiwa awamu ya 4,hawa marafiki zake walikuwa wazuri kweli kweliJPM alichoweza ni kuwapa Marafiki zake cake ya Taifa!!..
Tena ukitaka kufanikiwa achana na mambo ya siasa za vijiweni hukoSasa kama ni trillions, tanesco wanaouweza wa kulipa madeni, sababu wanaoweza wa kukusanya trillion mbili kwa mwezi,Je mbona hatujawai kuona bodi ya tanesco au mkurugenzi kutokea adharani kusema tanesco inalemewa na madeni kwa miaka 5 iliyopita? Mafisadi wameisha jipanga kufyonza asali, maana wameisha ona tanesco kuna mshiko wa kutosha, ndio maana wameanza kurusha mawe giza waone ninini kinatokea.Mkurugenzi wa tanesco ajiaande kutolewa, tiyari Karemani kaisha tupwa nje.
Unajua unachoongea kweli!!.. kwahiyo hata kama aliwapa Sawa!!!.. Asante kumbe Mimi sio size yako!!!.. SamahaniHata kama aliwapa hatujawai kusikia habari za madeni na mikataba mibovu ya kufirisi shirika,hao marafiki wamesambaza umeme Tanzania mzima tena kwa garama nafuu,umeme akukatika wala mabwawa maji hayakupungua kama tulivyokuwa tukiambiwa awamu ya 4,hawa marafiki zake walikuwa wazuri kweli kweli
Ndio maana walikua wanaficha kila kitu msijue!!..nasema Shirika lina daiwa!!..Sisi tunalidai shirika tokea 1990 huko au unadhani upo kijiweni hapa!!Hata kama aliwapa hatujawai kusikia habari za madeni na mikataba mibovu ya kufirisi shirika,hao marafiki wamesambaza umeme Tanzania mzima tena kwa garama nafuu,umeme akukatika wala mabwawa maji hayakupungua kama tulivyokuwa tukiambiwa awamu ya 4,hawa marafiki zake walikuwa wazuri kweli kweli
Unataka tukuletee mikataba humu ufe Kwa pressure!!!...Lini ulisikia Tanesco wametangaza kulipa Madeni yake!!!..Uliwahi kumsikia hata JPM akisema kulipa Madeni ya shirika hili!!..Unajua Tanesco bado ina nunua umeme mwingi kuliko linanavyo zalisha!!!
Kwani REA hawako sait wanafanya kazi? hivyo vijiji vyote vilivyopata umeme ninani kuusambaza huo umeme?nimekuliza hizi kelele za madeni mbona hatujawai kusikia kwa kipindi cha Magufuri!au mlisubili afe ndio muanze kudai madeni?Wewe nadhani huko ulipo hakuna vyanzo vingi vya habari!!!..Ndio Mtanzania wa kwanza Una kataa Tanesco haidaiwi!..Wewe inaweza kuwa hata hufwatilii Bunge yamkini hata hujui kwamba ukinunua mafuta ya taa unalipia madeni ya Tanesco Kwa ulagai wa REA
Ni nani kasema Tanesco is Perfect ?more than 50 years with 100% monopoly lakini hakuna chochote zaidi ya TANESCO kuendelea kuwaweka watu gizani ,kuua business za watu kwa umeme usiotosha unaokatika ovyo kila siku, na bei mbaya zisizolipika, ungekuwa na biashara au kiwanda ungeelewa jinsi hao wapuuzi wa TANESCO wanavyofanya uzalishaji kuwa close to impossible kwa ajiri ya bills zao, mnachojua ni excuse excuse excuse na visababu chungu nzima kila siku badilikeni na mjaribu kuona ukweli
Tunadai Madeni tokea 1990 huko na tunalipwa kidogo kidogo ili shirika liweze kutoa huduma!!..Kila mwaka interest zinaongezeka!!.. Tanesco haiwezi kujikwamua hapa ilipofikia!!..JPM ndio alijaribu kulipa baadhi ya madeni kidogo mwisho akajifanya ana hakiki lakini wapi!!..Bado madeni ni mengi na makubwa!!..Kwani
Kwani REA hawako sait wanafanya kazi? hivyo vijiji vyote vilivyopata umeme ninani kuusambaza huo umeme?nimekuliza hizi kelele za madeni mbona hatujawai kusikia kwa kipindi cha Magufuri!au mlisubili afe ndio muanze kudai madeni?
Kwahio tukileta watu wanunue Tanesco sasa hivi ni kwamba hao watu wa System na wengine waliopo Tanesco watakuwa wamekufa ? Au all of a sudden tumekuwa Malaika na Mikataba ya sasa itakuwa Transparent ?Tatizo sio Dowans or Symbion, walaumu wala rushwa incompetent officers wa TANESCO na serikali walioshiriki kutayarisha hiyo mikataba na kuisimamia, and FYI hao maofisa bado wapo wamejaa na ndio wanaendesha TANESCO, endelea kutetea system
Na ujue limetoka kwa mstaafu,vijana wake haoZitto naa January ni Kama mtu mmoja, ukiona zitto katoa wazo ujue January ndio kalitoa. Zitto ni Kama mdoli wa january
Wale vijana wanaomaliza Electrical Engineering pale UDSM huwa ni kwa ajili ya sifa tu kuwa ni ma injinia au?Kuna madeni mengi na bado ina endelea kukopa!!..Unajua Nani ana fanya services za mitambo?!..Je Magari Yao?;!!... Services za line na stations?
Huo Umeme nao!!!..kuna mambo mengi hamjui lakini mnabisha tu!!!..Tuna nunua Umeme,Tuna kodisha Magari,Tuna leta watu kutoka nnje kufanya services za mitambo na kutengeneza!!..Hivi bado twendelee kupigwa tu
Jiongopee tu, unit moja itauzwa buku na hamna kitu mtafanya watu watakuwa washakunja 10% zao kibindoni na uhakika wa 5% kila mwaka toka kwa wajinga wanaonunua umeme kwa bei ghali huku majumbani!Bei itashuka na huduma Itakua bora
Sio kuichangia tu nguzo si tunauziwaga zile au wanawekaga bure! Mita je? Sasa kama ulilipia vyote mwenyewe hao DOWANS wanakuja kufanya nini?For Profit peleka kwenye luxury au bia na sio vitu muhimu kama nishati na afya za watu (Tukirudi America unaweza kuona kwa jinsi gani Pharmaceuticals na Insurance Companies zinawafanya watu wafe na kutokutibiwa kwa kukosa Bima)...
Unaongelea Investors wawe motivated kuweka pesa zao ? Kwa lipi hasa tunahitaji pesa zao ? Bwawa tunajenga kwa mikopo ambayo hadi watukuu watalipia, Gesi tulishaifikisha mpaka Dar huenda napo kwa madeni mpaka vitukuu..., Umeme vijijini kila mtu analipa anaponunua LUKU..., sasa hao investors waje ili wafanye nini ? (Tugawane faida ya jasho letu) au sisi tuliochumia juani waje kutusaidia kulia kivulini ?
As for ENRON Kampuni ili-file bancruptcy, watu kupoteza pesa zao, na kazi zao.... In short people;s lives were ruined (I don't think the bancruptcy was any consolation)
Unaongelea Monopoly ya Tanesco; kwahio unataka hizi baadhi ya njia zake (distribution tuwape kina Dowans na Symbion) for me badala ya kuwapa hizi kwanini hao investors wasiende huko in the middle of no where waweke miundombinu (kumbuka na hii miundombinu mimi na wewe ni stakeholders sababu tunaichangia kwenye LUKU)
As for generation mbona watu binafsi walishakuja tu kina Dowans na yaliyotupata kila Mtanzania anajua
Yani kupigwa ni lazima sababu refa yuko upande wa mafisadi fc kwa sasa! Mchezo umetuelemea wazalendo fc yani kipenga kinaelekea mapumziko tayari mafisadi vs wazalendo 3-0Boys 2men a.k.a vascali da gamaye Work. Tumejua kilichokuwa kinapangwa kwa kumuondoa Kalemani. Ikulu yetu iko mikononi mwa waporaji wakubwa sana kwa sasa na wa kusaidia pekee ni Mungu
Hapo Genge la wapigaji limeshajiandaa kufanya yao wapige hela! Mbaya zaidi awamu hii wapinzani wa kupiga kelele hamna kabisa bungeni so kipigo kitakuwa ni cha kukata na shoka!Ni kawaida ya kila jamii kuwa na mtu anayesukumiwa mambo ya hovyo hovyo kuyasema au kuyafanya.Januari alikuwa akibeba boksi Amerika wakati Netgroup solution ya Afrika kusini ilipochukuwa TANESCO. Tatizo la mtu kama Januari ni la kielimu. Huwezi hata kujua ana digrii au diploma ya kitu gani. Huyo Zitto, yeye ni mpiga dili. Hapo wapo akina riziwani, na familia ya kikwete, tayari wamejiandaa kupiga dili, Zitto anaunga mkono.