mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Sasa kama ni trillions, tanesco wanaouweza wa kulipa madeni, sababu wanaoweza wa kukusanya trillion mbili kwa mwezi,Je mbona hatujawai kuona bodi ya tanesco au mkurugenzi kutokea adharani kusema tanesco inalemewa na madeni kwa miaka 5 iliyopita?Trillions of Tsh
Mafisadi wameisha jipanga kufyonza asali, maana wameisha ona tanesco kuna mshiko wa kutosha, ndio maana wameanza kurusha mawe giza waone ninini kinatokea.Mkurugenzi wa tanesco ajiaande kutolewa, tiyari Karemani kaisha tupwa nje.