Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Zama zimebadilika nishati ya umeme imekua rahisi sana!!..huku kwetu bado tuna nunua bei juu!!!..Sekta binafsi itafanya bei kuwa chini kwasababu vyanzo vipo vingi!!Jiongopee tu, unit moja itauzwa buku na hamna kitu mtafanya watu watakuwa washakunja 10% zao kibindoni na uhakika wa 5% kila mwaka toka kwa wajinga wanaonunua umeme kwa bei ghali huku majumbani!
Unajua Tanesco wana chuo Chao?!!.. Lakini hii haitoshi tuna vyuo vingi bado wataalamu wanatoka nnje!!Wale vijana wanaomaliza Electrical Engineering pale UDSM huwa ni kwa ajili ya sifa tu kuwa ni ma injinia au?
Nyie na JPM si ndio mmefanya haya!!..Hapo Genge la wapigaji limeshajiandaa kufanya yao wapige hela! Mbaya zaidi awamu hii wapinzani wa kupiga kelele hamna kabisa bungeni so kipigo kitakuwa ni cha kukata na shoka!
Hela watagawana kwenye noah sahizi sio sandarusi tena [emoji28]
Sekta binafsi itafanyaje bei kuwa chini wewe 😅! Wao wanafanya biashara sio huduma ya jamii kama ilivyo sasa!Zama zimebadilika nishati ya umeme imekua rahisi sana!!..huku kwetu bado tuna nunua bei juu!!!..Sekta binafsi itafanya bei kuwa chini kwasababu vyanzo vipo vingi!!
JPM alifanya makosa kwenye hili japo alikuwa ni rafiki yangu sana ila kwa hili hapana! Alifeli sana kuwaondoa wale viherehere wa Chadema!Nyie na JPM si ndio mmefanya haya!!..
Wewe umezaliwa mwaka gani?!!..Vocha ulikua Una nunua 5 USD au ulikua hujazaliwa?!!..Leo Una pata Hadi Vocha ya Mia mbili!!..Sekta binafsi itafanyaje bei kuwa chini wewe [emoji28]! Wao wanafanya biashara sio huduma ya jamii kama ilivyo sasa!
Umeme ni social service kwa sasa, haiko katika mlengo wa kibiashara kabisa ila kujiendesha tu na kuwafikia watu wengi zaidi!
Akiingia mtu binafsi ina maana ataweka pesa na atataka faida maana atapigwa kodi ya mapato! Ile difference ya kodi kwenye faida yake lazma awasukumie nyie walaji na ndipo bei itapopanda hapo! Sahizi Unit moja ni roughly Tshs. 270 akija muwekezaji lazima atai double utashangaa unit moja ni Tshs. 550 ghafla!
Sekta binafsi ya umeme ni tofauti na hao jamaa wa mitandao! Tanseco ni monopoly organisation si sawa na wale jamaa wa mitandao ambao wao wako wengi na wanapambania wateja hao hao!Wewe umezaliwa mwaka gani?!!..Vocha ulikua Una nunua 5 USD au ulikua hujazaliwa?!!..Leo Una pata Hadi Vocha ya Mia mbili!!..
Sasa hivi bei imepungua kwasababu kuna uzalishaji mkubwa kutoka Sekta binafsi na kama shirika tukichua bei itapungua maradufuSekta binafsi itafanyaje bei kuwa chini wewe [emoji28]! Wao wanafanya biashara sio huduma ya jamii kama ilivyo sasa!
Umeme ni social service kwa sasa, haiko katika mlengo wa kibiashara kabisa ila kujiendesha tu na kuwafikia watu wengi zaidi!
Akiingia mtu binafsi ina maana ataweka pesa na atataka faida maana atapigwa kodi ya mapato! Ile difference ya kodi kwenye faida yake lazma awasukumie nyie walaji na ndipo bei itapopanda hapo! Sahizi Unit moja ni roughly Tshs. 270 akija muwekezaji lazima atai double utashangaa unit moja ni Tshs. 550 ghafla!
Unaonaje kubinafsisha Sekta ya mawasiliano Ndugu mwandishi!!..Hujui kwamba mawasiliano yote yapo Chini ya Sekta hii (Raisi,Majeshi) au Mimi ndio sielewi!!Sekta binafsi ya umeme ni tofauti na hao jamaa wa mitandao! Tanseco ni monopoly organisation si sawa na wale jamaa wa mitandao ambao wao wako wengi na wanapambania wateja hao hao!
The one with best offer ni anapata wateja wengi. Kama kwa umeme itakuwa hivyo basi itakuwa sahihi! Japo pia naona they won’t stand a chance against private companies.
Wawe wengi yani tuwe na voda, tigo, zantel, halotel wa upande wa umeme! Hapo mambo yataenda sababu penye unafuu ndio watu watajazana😅Sasa hivi bei imepungua kwasababu kuna uzalishaji mkubwa kutoka Sekta binafsi na kama shirika tukichua bei itapungua maradufu
Eeh yapo ndio maana ukiongea upumbavu hutamaliza week uraiani!Unaonaje kubinafsisha Sekta ya mawasiliano Ndugu mwandishi!!..Hujui kwamba mawasiliano yote yapo Chini ya Sekta hii (Raisi,Majeshi) au Mimi ndio sielewi!!
Unadhani umeme bila mawasiliano utapata Ndugu mwandishi?!!Sekta binafsi ya umeme ni tofauti na hao jamaa wa mitandao! Tanseco ni monopoly organisation si sawa na wale jamaa wa mitandao ambao wao wako wengi na wanapambania wateja hao hao!
The one with best offer ni anapata wateja wengi. Kama kwa umeme itakuwa hivyo basi itakuwa sahihi! Japo pia naona they won’t stand a chance against private companies.
Ntaupata dirishani pale tabata postaUnadhani umeme bila mawasiliano utapata Ndugu mwandishi?!!
Ndio uone ajabu kwamba Sekta yako ya mawasiliano ipo Sekta binafsi na inafanya vizuri kuliko huu umeme!!Eeh yapo ndio maana ukiongea upumbavu hutamaliza week uraiani!
Nafikiria mfano ndio tungekuwa na ttcl mpaka leo hii sijui tungekuwa wapi yaaniNchi ya watu zaidi ya millioni 60 kwa nini tuwe na shirika moja umeme huduma ambayo ni muhimu sana katika maisha na uchumi wa nchi, serikali kwa ruzuku zake na TANESCO hawana uwezo wa kuhudumia nchi nzima, tuache sekta binafsi iingie ifanye kazi ya uzalishaji na usambazaji, cha muhimu tuweke utaratibu mzuri tuu tupate umeme na wao wapate faida zao, tuache ujinga
Nadhani kuna kitu huelewi vyema!!..Ntaupata dirishani pale tabata posta
Tungekuwa na simu za kukoroga mezani zile 😅Nafikiria mfano ndio tungekuwa na ttcl mpaka leo hii sijui tungekuwa wapi yaani
Hata hapa ningekua siandika muda huu!!!..tushukuru Tanesco ina nunua Umeme Kwa wazalishaji binafsi vinginevyo hali ingekua mbaya sana!!..Sekta binafsi tupewe TanescoNafikiria mfano ndio tungekuwa na ttcl mpaka leo hii sijui tungekuwa wapi yaani
Unaweza ukaanza kuuza umeme wa solar kijijini kwenu bila kutumia miundombinu ya Tanesco...Sekta binafsi ya umeme ni tofauti na hao jamaa wa mitandao! Tanseco ni monopoly organisation si sawa na wale jamaa wa mitandao ambao wao wako wengi na wanapambania wateja hao hao!
The one with best offer ni anapata wateja wengi. Kama kwa umeme itakuwa hivyo basi itakuwa sahihi! Japo pia naona they won’t stand a chance against private companies.
Sasaivi serikali imetunga sheria kwa makampuni yote ya mawasiliano kununua intanet kupitia mkongo wao wa Taifa (Ttcl),hapo wanunuaji ni hao Tigo,voda,airtel na halotel n.k lakini hapohapo hayo makampuni yanayonunua net ttcl yanapata faida na pia wanatoa ofa nyingi kwa wateja,lakini najiuliza inakuwaje kwa shirika lenyewe Ttcl kutopata faida na pia huduma zao kuwa dhaifuJe Ushidani unaamisha Ubinafsishaji ?
Je kwahio unataka vyanzo vya Nishati HEP (Kidato, Nyerere n.k. ) tuviuze au ? Kwanini hao so called wawekezaji wasije na vyao vicompete na Tanesco...
Gesi je tuendelee kuwapa au ibaki kuwa mali ya jamii kwa manufaa ya jamii ? Kumbuka Private entities ni Profits at all Costs lakini State Owned mara nyingi ni service oriented (Community Welfare)
Am all for Free Market and what not..., lakini sio watu watumie mali na assests za jamii kwa kujifanya wao ndio waendeshaji wazuri sana..., watengeneze na kuanzisha zao alafu waziendeshe