Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Zama zimebadilika nishati ya umeme imekua rahisi sana!!..huku kwetu bado tuna nunua bei juu!!!..Sekta binafsi itafanya bei kuwa chini kwasababu vyanzo vipo vingi!!Jiongopee tu, unit moja itauzwa buku na hamna kitu mtafanya watu watakuwa washakunja 10% zao kibindoni na uhakika wa 5% kila mwaka toka kwa wajinga wanaonunua umeme kwa bei ghali huku majumbani!