Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

Jiongopee tu, unit moja itauzwa buku na hamna kitu mtafanya watu watakuwa washakunja 10% zao kibindoni na uhakika wa 5% kila mwaka toka kwa wajinga wanaonunua umeme kwa bei ghali huku majumbani!
Zama zimebadilika nishati ya umeme imekua rahisi sana!!..huku kwetu bado tuna nunua bei juu!!!..Sekta binafsi itafanya bei kuwa chini kwasababu vyanzo vipo vingi!!
 
Hapo Genge la wapigaji limeshajiandaa kufanya yao wapige hela! Mbaya zaidi awamu hii wapinzani wa kupiga kelele hamna kabisa bungeni so kipigo kitakuwa ni cha kukata na shoka!

Hela watagawana kwenye noah sahizi sio sandarusi tena [emoji28]
Nyie na JPM si ndio mmefanya haya!!..
 
Zama zimebadilika nishati ya umeme imekua rahisi sana!!..huku kwetu bado tuna nunua bei juu!!!..Sekta binafsi itafanya bei kuwa chini kwasababu vyanzo vipo vingi!!
Sekta binafsi itafanyaje bei kuwa chini wewe 😅! Wao wanafanya biashara sio huduma ya jamii kama ilivyo sasa!

Umeme ni social service kwa sasa, haiko katika mlengo wa kibiashara kabisa ila kujiendesha tu na kuwafikia watu wengi zaidi!

Akiingia mtu binafsi ina maana ataweka pesa na atataka faida maana atapigwa kodi ya mapato! Ile difference ya kodi kwenye faida yake lazma awasukumie nyie walaji na ndipo bei itapopanda hapo! Sahizi Unit moja ni roughly Tshs. 270 akija muwekezaji lazima atai double utashangaa unit moja ni Tshs. 550 ghafla!
 
Sekta binafsi itafanyaje bei kuwa chini wewe [emoji28]! Wao wanafanya biashara sio huduma ya jamii kama ilivyo sasa!

Wewe umezaliwa mwaka gani?!!..Vocha ulikua Una nunua 5 USD au ulikua hujazaliwa?!!..Leo Una pata Hadi Vocha ya Mia mbili!!..
 
Sekta binafsi ya umeme ni tofauti na hao jamaa wa mitandao! Tanseco ni monopoly organisation si sawa na wale jamaa wa mitandao ambao wao wako wengi na wanapambania wateja hao hao!

The one with best offer ni anapata wateja wengi. Kama kwa umeme itakuwa hivyo basi itakuwa sahihi! Japo pia naona they won’t stand a chance against private companies.
 
Sekta binafsi itafanyaje bei kuwa chini wewe [emoji28]! Wao wanafanya biashara sio huduma ya jamii kama ilivyo sasa!

Umeme ni social service kwa sasa, haiko katika mlengo wa kibiashara kabisa ila kujiendesha tu na kuwafikia watu wengi zaidi!

Akiingia mtu binafsi ina maana ataweka pesa na atataka faida maana atapigwa kodi ya mapato! Ile difference ya kodi kwenye faida yake lazma awasukumie nyie walaji na ndipo bei itapopanda hapo! Sahizi Unit moja ni roughly Tshs. 270 akija muwekezaji lazima atai double utashangaa unit moja ni Tshs. 550 ghafla!
Sasa hivi bei imepungua kwasababu kuna uzalishaji mkubwa kutoka Sekta binafsi na kama shirika tukichua bei itapungua maradufu
 
Sekta binafsi ya umeme ni tofauti na hao jamaa wa mitandao! Tanseco ni monopoly organisation si sawa na wale jamaa wa mitandao ambao wao wako wengi na wanapambania wateja hao hao!

The one with best offer ni anapata wateja wengi. Kama kwa umeme itakuwa hivyo basi itakuwa sahihi! Japo pia naona they won’t stand a chance against private companies.
Unaonaje kubinafsisha Sekta ya mawasiliano Ndugu mwandishi!!..Hujui kwamba mawasiliano yote yapo Chini ya Sekta hii (Raisi,Majeshi) au Mimi ndio sielewi!!
 
Sekta binafsi ya umeme ni tofauti na hao jamaa wa mitandao! Tanseco ni monopoly organisation si sawa na wale jamaa wa mitandao ambao wao wako wengi na wanapambania wateja hao hao!

The one with best offer ni anapata wateja wengi. Kama kwa umeme itakuwa hivyo basi itakuwa sahihi! Japo pia naona they won’t stand a chance against private companies.
Unadhani umeme bila mawasiliano utapata Ndugu mwandishi?!!
 
Nchi ya watu zaidi ya millioni 60 kwa nini tuwe na shirika moja umeme huduma ambayo ni muhimu sana katika maisha na uchumi wa nchi, serikali kwa ruzuku zake na TANESCO hawana uwezo wa kuhudumia nchi nzima, tuache sekta binafsi iingie ifanye kazi ya uzalishaji na usambazaji, cha muhimu tuweke utaratibu mzuri tuu tupate umeme na wao wapate faida zao, tuache ujinga
Nafikiria mfano ndio tungekuwa na ttcl mpaka leo hii sijui tungekuwa wapi yaani
 
Hata hapa ningekua siandika muda huu!!!..tushukuru Tanesco ina nunua Umeme Kwa wazalishaji binafsi vinginevyo hali ingekua mbaya sana!!..Sekta binafsi tupewe Tanesco
 
Sekta binafsi ya umeme ni tofauti na hao jamaa wa mitandao! Tanseco ni monopoly organisation si sawa na wale jamaa wa mitandao ambao wao wako wengi na wanapambania wateja hao hao!

The one with best offer ni anapata wateja wengi. Kama kwa umeme itakuwa hivyo basi itakuwa sahihi! Japo pia naona they won’t stand a chance against private companies.
Unaweza ukaanza kuuza umeme wa solar kijijini kwenu bila kutumia miundombinu ya Tanesco...

Unaweza ukazalisha umeme ukawauzia Tanesco (nilisikia wanaanza kukubali kununua kwa private solar companies) ingawa sioni sababu as soon tutakuwa tuna excess....

Kwahio cha kujiuliza why now ? There was a time kweli kulikuwa na shida ila sasa kwa uwezo huu wa kuzalisha ni mtaji mkubwa sana...., Hii haina tofauti na wale waliobinafisha Shirika la Nyumba na kuchukua Asset zote na kuzifanyia Biashara na bado sasa hivi rent yao haina tofauti na pengine (Yaani ile objective ya Affordable Housing ikafa kifo cha kawaida ikabaki How much more we can Make / Profit) Kwa faida ya nani ? Who knows....
 
Je Ushidani unaamisha Ubinafsishaji ?
Je kwahio unataka vyanzo vya Nishati HEP (Kidato, Nyerere n.k. ) tuviuze au ? Kwanini hao so called wawekezaji wasije na vyao vicompete na Tanesco...

Gesi je tuendelee kuwapa au ibaki kuwa mali ya jamii kwa manufaa ya jamii ? Kumbuka Private entities ni Profits at all Costs lakini State Owned mara nyingi ni service oriented (Community Welfare)

Am all for Free Market and what not..., lakini sio watu watumie mali na assests za jamii kwa kujifanya wao ndio waendeshaji wazuri sana..., watengeneze na kuanzisha zao alafu waziendeshe
Sasaivi serikali imetunga sheria kwa makampuni yote ya mawasiliano kununua intanet kupitia mkongo wao wa Taifa (Ttcl),hapo wanunuaji ni hao Tigo,voda,airtel na halotel n.k lakini hapohapo hayo makampuni yanayonunua net ttcl yanapata faida na pia wanatoa ofa nyingi kwa wateja,lakini najiuliza inakuwaje kwa shirika lenyewe Ttcl kutopata faida na pia huduma zao kuwa dhaifu
 
Back
Top Bottom