Broo nimeona kuna watu wamekushauri mambo ya kusafisha nyota sijui nini, aisee ukiingia huko utakuwa umejibebesha mzigo mwingine tena ase, hayo mambo ya giza ndiyo yanayomaliza pesa kuliko,
...niheri uuze kidogo na sio lote, then upate pesa inayotosha tu kukomboa mzigo kwanza, ukishafanikiwa hilo,ndo utakaa na ma mkwe na kumuelekeza, ila pole sana, biashara ya mkaa ni upuuzi sana na hizo biashara za mazao, mbao nk, zinahitaji uzoefu mkubwa mno sio biashara za kuanza tu, ndio maana wafanyabiashara wengi wa hizo biashara walikuwa chini ya watu ndo wakapata uzoefu.