Tunapoufikia ukomo

Tunapoufikia ukomo

Kweli eenh? Wewe ni mtu wa ngapi sijui ukizungumzia suala la nyota. Ila kuhusu kujiweka sawa unanipa insight mpya. Gemu ngumu nakujia hata pm tuyajenge. Im still young with ambition
Jiongeze ila kama una madharau hukuwaamini basi maisha utajifunza ukifa maana hata kaburi nalo ni darasa la ahera
 
Hizi mada za kujikatia tamaa zimekua nyingi sana inahuzunisha aisee ila Mungu yupo pamoja nasi
Ukiuza Shamba usifanye kosa ukaenda bila kujiweka sawa kwenda Zambia lazima uondoe nuksi na ujinga wote walokupa washenzi kwenye nyota yako, maana hapo tayari upo kwenye mufilisi kwenye nyota be careful, na wala sio lazima nikusaidie mimi , mi naplay role yangu kukufungua akili kama msamalia mwema
jamaa yuko vulnerable alaf unamshauri mambo ya kusafisha nyota! Ficha ujinga wako kama unaamini hayo kaa nayo peke yako! Ndugu yetu anahitaji positivity wee unaongeza darkness hapa nimekumaind kichizii!

Kaka ukiingia kweny mambo ya kusafisha nyota ndo nitolee utakuja kutoa ushuhuda mwingine apa! Rudi drawing board, deal na Mungu wako anatosha.
 
Hizi mada za kujikatia tamaa zimekua nyingi sana inahuzunisha aisee ila Mungu yupo pamoja nasi

jamaa yuko vulnerable alaf unamshauri mambo ya kusafisha nyota! Ficha ujinga wako kama unaamini hayo kaa nayo peke yako! Ndugu yetu anahitaji positivity wee unaongeza darkness hapa nimekumaind kichizii!

Kaka ukiingia kweny mambo ya kusafisha nyota ndo nitolee utakuja kutoa ushuhuda mwingine apa! Rudi drawing board, deal na Mungu wako anatosha.
Huwezi kuelewa kuwa hata makanisani maombi hulenga kuua vizingiti kama hivyo, hata mafuta ya Kwa mwamposa na Maombi ni dawa, ukiwa mtoto au narrow minded huwezi jua. Hujapita kwenye matanuri ya mioto.
 
bro futa hiyo kauli kabisaaa, huwezi jua nilikopita au aliyopitia memba yoyote humu.. ila kwa ufupi tu nishafilisika mara mbili kweny maisha haya ile alostoo apechee hoheaee hadi leo nilipo nashkuru! Sijawahi na sitawahi kusafisha nyota.. usimkabidhi binadamu tamati yako, mkabidhi alie juu!

Na sijashauri aende makanisan, unaweza kujikomboa spiritually mwenyewe kama kwa sadaka, kufunga, meditation.. kama huna cha kutoa bas ata jitolee maarifa au nguvu zako! Mwisho wa siku mkiingia huko kwenye wanajimu mnakuaga mnaishi kwa machale ukiuguliwa na mtoto kidogo unaona wanachezea nyota, mambo yakienda kombo kama hivi nyota.. ni utumwa man!
 
Hizi mada za kujikatia tamaa zimekua nyingi sana inahuzunisha aisee ila Mungu yupo pamoja nasi

jamaa yuko vulnerable alaf unamshauri mambo ya kusafisha nyota! Ficha ujinga wako kama unaamini hayo kaa nayo peke yako! Ndugu yetu anahitaji positivity wee unaongeza darkness hapa nimekumaind kichizii!

Kaka ukiingia kweny mambo ya kusafisha nyota ndo nitolee utakuja kutoa ushuhuda mwingine apa! Rudi drawing board, deal na Mungu wako anatosha.
Bora umemubia ukweli struggle Ni mikakati na kuwa na mshauri mzuri ,,habari za kutembea na vizingiti kiunoni vimemfanya Kaka kuwa addicted na ulozi kuliko positivity na exposure yaan hakuna jambo analozungumza Bila kusema Kinga na vizingiti ,,kiukweli nimepiga chini ... Yaani kila ukimshauri kitu yeye huanza na kauli ya Twende kwa Waganga na wanamla hela Kweli.
 
Broo nimeona kuna watu wamekushauri mambo ya kusafisha nyota sijui nini, aisee ukiingia huko utakuwa umejibebesha mzigo mwingine tena ase, hayo mambo ya giza ndiyo yanayomaliza pesa kuliko,
...niheri uuze kidogo na sio lote, then upate pesa inayotosha tu kukomboa mzigo kwanza, ukishafanikiwa hilo,ndo utakaa na ma mkwe na kumuelekeza, ila pole sana, biashara ya mkaa ni upuuzi sana na hizo biashara za mazao, mbao nk, zinahitaji uzoefu mkubwa mno sio biashara za kuanza tu, ndio maana wafanyabiashara wengi wa hizo biashara walikuwa chini ya watu ndo wakapata uzoefu.
 
Back
Top Bottom