Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Jiongeze ila kama una madharau hukuwaamini basi maisha utajifunza ukifa maana hata kaburi nalo ni darasa la aheraKweli eenh? Wewe ni mtu wa ngapi sijui ukizungumzia suala la nyota. Ila kuhusu kujiweka sawa unanipa insight mpya. Gemu ngumu nakujia hata pm tuyajenge. Im still young with ambition
Changamoto sanaDaa,ila maisha haya
Kaza mkuu,ni kipindi tu....badala ya kujiua uza hilo eneo then nenda kaishi mbali na familia....huko kaanze upya kapige hata debe au ukondakta ....kaanzie hapo yaanChangamoto sana
jamaa yuko vulnerable alaf unamshauri mambo ya kusafisha nyota! Ficha ujinga wako kama unaamini hayo kaa nayo peke yako! Ndugu yetu anahitaji positivity wee unaongeza darkness hapa nimekumaind kichizii!Ukiuza Shamba usifanye kosa ukaenda bila kujiweka sawa kwenda Zambia lazima uondoe nuksi na ujinga wote walokupa washenzi kwenye nyota yako, maana hapo tayari upo kwenye mufilisi kwenye nyota be careful, na wala sio lazima nikusaidie mimi , mi naplay role yangu kukufungua akili kama msamalia mwema
Huwezi kuelewa kuwa hata makanisani maombi hulenga kuua vizingiti kama hivyo, hata mafuta ya Kwa mwamposa na Maombi ni dawa, ukiwa mtoto au narrow minded huwezi jua. Hujapita kwenye matanuri ya mioto.Hizi mada za kujikatia tamaa zimekua nyingi sana inahuzunisha aisee ila Mungu yupo pamoja nasi
jamaa yuko vulnerable alaf unamshauri mambo ya kusafisha nyota! Ficha ujinga wako kama unaamini hayo kaa nayo peke yako! Ndugu yetu anahitaji positivity wee unaongeza darkness hapa nimekumaind kichizii!
Kaka ukiingia kweny mambo ya kusafisha nyota ndo nitolee utakuja kutoa ushuhuda mwingine apa! Rudi drawing board, deal na Mungu wako anatosha.
"Kaburi nalo ni darasa la ahera"! Sijawahi kusikia hili pahala!Jiongeze ila kama una madharau hukuwaamini basi maisha utajifunza ukifa maana hata kaburi nalo ni darasa la ahera
bro futa hiyo kauli kabisaaa, huwezi jua nilikopita au aliyopitia memba yoyote humu.. ila kwa ufupi tu nishafilisika mara mbili kweny maisha haya ile alostoo apechee hoheaee hadi leo nilipo nashkuru! Sijawahi na sitawahi kusafisha nyota.. usimkabidhi binadamu tamati yako, mkabidhi alie juu!Huwezi kuelewa kuwa hata makanisani maombi hulenga kuua vizingiti kama hivyo, hata mafuta ya Kwa mwamposa na Maombi ni dawa, ukiwa mtoto au narrow minded huwezi jua. Hujapita kwenye matanuri ya mioto.
Bora umemubia ukweli struggle Ni mikakati na kuwa na mshauri mzuri ,,habari za kutembea na vizingiti kiunoni vimemfanya Kaka kuwa addicted na ulozi kuliko positivity na exposure yaan hakuna jambo analozungumza Bila kusema Kinga na vizingiti ,,kiukweli nimepiga chini ... Yaani kila ukimshauri kitu yeye huanza na kauli ya Twende kwa Waganga na wanamla hela Kweli.Hizi mada za kujikatia tamaa zimekua nyingi sana inahuzunisha aisee ila Mungu yupo pamoja nasi
jamaa yuko vulnerable alaf unamshauri mambo ya kusafisha nyota! Ficha ujinga wako kama unaamini hayo kaa nayo peke yako! Ndugu yetu anahitaji positivity wee unaongeza darkness hapa nimekumaind kichizii!
Kaka ukiingia kweny mambo ya kusafisha nyota ndo nitolee utakuja kutoa ushuhuda mwingine apa! Rudi drawing board, deal na Mungu wako anatosha.
Best wishes mkuuAsanteni guys kwa ushauri wenu. Nimeamka leo nimefanya jambo na naona uelekeo